Muda umefika kwa Mbowe kujitathmini

Muda umefika kwa Mbowe kujitathmini

mlingoti west

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2020
Posts
252
Reaction score
195
Kwa hali ilivyo ndani ya Chadema mh MBOWE (KUB) anapaswa KUJITATHIMINi kama Bado anafaa kuongoza CHADEMA. Kwa miaka mingi chadema imepoteza viongozi, wabunge mahiri kwa kufukuzwa au kujiuzuru, haitoshi tu kusingizia eti wananunuliwa, hawezekani hao wote.

Kwa mustakabali wa Chadema wapishe wengine waongoze. Maamuzi yako mengi ni ya kidikteta ya hovyo na yasiyo na busara yenye kuleta mkwaruzano usio wa lazima na serikali, bunge polisi na taasisi zingine. Hii inapelekea kuwapa wakati mgumu wabunge wa Chadema, viongozi na hata wanachama. Taifa hili linahitaji umoja, hivyo hivyo Chadema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hali ya siasa ilivyo ni kiongozi gani atakaefaa kuiongoza CDM tofauti na Mbowe?
Yule jamaa ana some sort of intelligence.
 
Wajinga mko wengi sana..na wengi ni kutoka huko kaskazini

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Wacheni kumsingizia mtukufu.
 
Wajinga mko wengi sana..na wengi ni kutoka huko kaskazini

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Ndo ulichokariri au sio,
Kama ulichoandika hapa ndo werevu bas acha niendelee kuwa mjinga
 
lipumba, Mbatia, Mrema na wengine wamempiyisha mgombea wa CCM, Mbowe khona na ndio maana hakuitwa Ikulu, hatuna wasiwasi na haya yanayo semwa, Chadema ni Chama makini hakiwezi kutumika na CCM.

Jiandaeni tu kujua kwanini wanamshambulia Mbowe sana, 2020 hii, wanajua ugumu wa uchaguzi ndio maana hawataki tume huru, wanaogopa kura za wananchi kuliko kitu kingine, wanaona ni Bora wazidishe mashambulizi kwa Mbowe ili wamwondoe pale ili wamweke wanaeona mrahisi kushawishika kama walivyomweka Mwambe kuogombea uenyekiti Chadema, alivyoshindwa kajiunga CCM, hebu fikirieni huyu angeshinda uwenyekiti Chadema, kungekuwepo chama Tena? Mbowe chapa kazi, uchaguzi ujao hakuna kunyimwa form, hakuna Mgombea kupita bila kupingwa.

Dunia iko na wewe , Ingekuwa sio kelele za Dunia wangesha kupiga Risasi, sema jihadhari na ajali za kutengenezwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe tumia busara yako Sasa kujitathimini. Nina imani na wewe na wewe ni jirani yangu hapa Machame Nshara . Usipojitathimini mwenyewe tutakutathimini wengine na hautakuwa na haki ya kupinga au kukubaliana na matokeo
 
Kwa hali ya siasa ilivyo ni kiongozi gani atakaefaa kuiongoza CDM tofauti na Mbowe?
Yule jamaa ana some sort of intelligence.
FB_IMG_1589397986327.jpg
 
Kwa hali ilivyo ndani ya Chadema mh MBOWE (KUB) anapaswa KUJITATHIMINi kama Bado anafaa kuongoza CHADEMA. Kwa miaka mingi chadema imepoteza viongozi, wabunge mahiri kwa kufukuzwa au kujiuzuru, haitoshi tu kusingizia eti wananunuliwa, hawezekani hao wote.

Kwa mustakabali wa Chadema wapishe wengine waongoze. Maamuzi yako mengi ni ya kidikteta ya hovyo na yasiyo na busara yenye kuleta mkwaruzano usio wa lazima na serikali, bunge polisi na taasisi zingine. Hii inapelekea kuwapa wakati mgumu wabunge wa Chadema, viongozi na hata wanachama. Taifa hili linahitaji umoja, hivyo hivyo Chadema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Mlingoti West yakumbuke aya maneno kwanza

"Iwapo CCM itashinda uchaguzi mwaka 2015, basi nitajiuzulu Siasa."
 
Back
Top Bottom