Muda ukifika kila mtu atalainika tuu

Muda ukifika kila mtu atalainika tuu

kamandawasua

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Posts
326
Reaction score
86
Sijui ni mtu mwenyewe au ni mazingira aliyokulia. Sikuwahi fikiri kuwa siku moja na mimi nitapenda. Ila siku hiyo imefika na nimependa pasipopendeka. Siyo kuwa huyu ndo msichana wa kwanza kuwa naye kwenye mahusiano bali ndo wa kwanza niliyempenda. She is driving me crazy. What should I do peoplezz.
 
just jishikilie vizuri, if she drives u crazly atakuangusha mahali..crazy driving is not safe
 
Put on ur seatbelt....and take care of ur heart
 
eeenhee!!!
mtengenezee mazingira ya kimapenzi tumia huu msemo "TRUTH, LOVE & BEING FREE" hakikisha humpi maumivu na unapokosea omba msamaha!
NB:ukiona haelekei achana nae!!!
 
naona unaanza kutambaa ndg yangu wakat wenzako tayar waeshazeeka nawanakula kinuamgongo workhard!@kamandawasua
 
naona unaanza kutambaa ndg yangu wakat wenzako tayar waeshazeeka nawanakula kinuamgongo workhard!@kamandawasua

Unaweza ukasema hivyo ila si kweli I knw girlz kwa namna flani sababu nishapita na almost all crazy types without caring of what is going to cause what to whom. But thanks man mangi mandara
 
Last edited by a moderator:
kamandawasua sasa unapigwa chini, jiandae lakini sio kwa kununua silaha....
 
Last edited by a moderator:
Taratibu tusije tukakukuta dampo unaokota makopo...
 
Back
Top Bottom