Hivi ya Butiama ina ghorofa ngapi? Nilipita pale kitambo niliona kama ina ghorofa 6 tu?Kuna hospitali ya ghorofa tisa inajengwa kimyakimya,ni vile tu wanahabari wamefungwa midomo,ghorofa tisa ni sawa na hospitali ya rufaa bugando
Chato ni kuzuri sana mimi mwenyewe nataka kuhamia hukoKuna hospitali ya ghorofa tisa inajengwa kimyakimya,ni vile tu wanahabari wamefungwa midomo,ghorofa tisa ni sawa na hospitali ya rufaa bugando
AmenNchi yetu ni tajiri sana
Acheni tuijenge.
Hilo ndilo jibu utalokutana
Nakumbuka mkurugenzi wa CRDB alilalamika kulazimishwa kujenga tawi chato ambako akasema haina manufaa kibiashara kwa bank yao!Hamna shida SI ipo Tanzania ukiona pazuri unaweza kuhamia kuishi huko Uzuri TANZANIA tuna Uhuru wa kuishi popote
mkuu, mambo kama haya ndio yanatufanya wengine tufurahie tunaposikia wazungu wanataka kumwondoa jiwe.....Habari wadau,
Maendeleo ni jambo zuri na inapendeza zaidi unapoyapata au jirani yako kuyapata maana wengi watafaidika ama kujifunza toka kwa aliyefanikiwa.
Kuna threads nyingi ktk jukwaa zikilalamikia jinsi Chato inavyosonga kwa miradi ya maendeleo...Mimi naona kwa hili hatupaswi kulaumu bali sisi tulioko nje ya Chato yapasa kuhimiza wakurugenzi wa halmashauri tunazotoka kwenda kwenye kujifunza Chato. Ikiwa wao wameweza ktk haya:
Je, hatupaswi kujifunza toka kwa wenzetu?
- Uwanja wa mpira
- Uwanja wa ndege
- Hoteli za kisasa
- Ofisi za TRA
- Traffic light (hata kama hakuna traffic jam ila wameweza kuangalia mbele)
- Hospitali ya kisasa
- Ufaulu mzuri wa wanafunzi
- Hata wazee kupewa vitambulisho vya matibabu ili kupata huduma kwa urahisi zaidi
itasikia huko nako ni tanzaniaNchi yetu ni tajiri sana
Acheni tuijenge.
Hilo ndilo jibu utalokutana
Kwa kweli Chato wanahitaji hongera...wamepiga sana hatua kimaendeleo baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2015, nashangaa Dodoma tangu mwaka 1977 pamoja na kuwa na CDA hawana Uwanja wa Ndege wa maana...Habari wadau,
Maendeleo ni jambo zuri na inapendeza zaidi unapoyapata au jirani yako kuyapata maana wengi watafaidika ama kujifunza toka kwa aliyefanikiwa.
Kuna threads nyingi ktk jukwaa zikilalamikia jinsi Chato inavyosonga kwa miradi ya maendeleo...Mimi naona kwa hili hatupaswi kulaumu bali sisi tulioko nje ya Chato yapasa kuhimiza wakurugenzi wa halmashauri tunazotoka kwenda kwenye kujifunza Chato. Ikiwa wao wameweza ktk haya:
Je, hatupaswi kujifunza toka kwa wenzetu?
- Uwanja wa mpira
- Uwanja wa ndege
- Hoteli za kisasa
- Ofisi za TRA
- Traffic light (hata kama hakuna traffic jam ila wameweza kuangalia mbele)
- Hospitali ya kisasa
- Ufaulu mzuri wa wanafunzi
- Hata wazee kupewa vitambulisho vya matibabu ili kupata huduma kwa urahisi zaidi
Unaijua bugando vizuri wewe yaani jengo kama lijengwe chato watu tusijueKuna hospitali ya ghorofa tisa inajengwa kimyakimya,ni vile tu wanahabari wamefungwa midomo,ghorofa tisa ni sawa na hospitali ya rufaa bugando
Uongo mtupu unaoushuhudia.charles kimei ame zindua tawi mbele ya Magufuli na alisema litasaidia Sana kukuza uchumi wa watu wa chatoNakumbuka mkurugenzi wa CRDB alilalamika kulazimishwa kujenga tawi chato ambako akasema haina manufaa kibiashara kwa bank yao!
Hebu nenda kafufue tamko lake,ule uzi nimeutafuta nimeukosa!Uongo mtupu unaoushuhudia.charles kimei ame zindua tawi mbele ya Magufuli na alisema litasaidia Sana kukuza uchumi wa watu wa chato