Muda Muafaka wa Kuandaa/Kuboresha Daftari la Wapigakura

Muda Muafaka wa Kuandaa/Kuboresha Daftari la Wapigakura

Papa1

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2012
Posts
2,023
Reaction score
2,218
Sina shaka kwamba idadi kubwa ya wa tz wanaelewa nafasi zao katika kuchagua uongozi unaowafaa. Swali ni Je, watu wote wenye umri unaoruhusiwa kupiga kura wamejiandikisha? Napendekeza katiba mpya iwekesheria ya kumlazimisha kila mtazania mwenye umri wa kupiga kura apige kura!
 
Sheria yoyote lazima iwe enforced. Hebu tupe maoni yako hiyo sheria itakuwa enforced vipi.
 
Nini maana ya "enforced"!!??

Tafadharini watz Kiswahili kiheshimiwe!!
 
Nini maana ya "enforced"!!??

Tafadharini watz Kiswahili kiheshimiwe!!

Mimi napendekeza Chadema watutangazie MAANDAMANO YA AMANI Nchi nzima ili tuishinikize serikali ya ccm kuruhusu mchakato wa kuboresha daftari la kudumu la Wapiga kura lianze mara moja!

Kama kuna jambo ambalo vyama vya siasa vinatakiwa vipambane navyo kwa nguvu kubwa sana ni kuishawishi serikali ianze mapema kuboresha daftari la wapiga kura, vinginevyo uchaguzi ujao wapiga kura watakua wachache kuliko uchaguzi uliotangulia,ni ajenda ya cm kuhakikisha kua daftari hilo haliboreshwi ili iwape nafuu katika matokeo yajayo.
Tatizo la vyama vyetu vya siasa hawajui mtaji wao upo wapi. Mtaji mkuu ni wapiga kura na siyo ushabiki wa mikutanoni wakati hawajajiandikisha katika datari la wapiga kura.
 
Back
Top Bottom