Muda huu nimetoka lock up, kisa mapenzi

Wewe ss ndo mwanaume Mashine hongera mkuu hpa najua wanaopapatikia wake za watu wajifunze
 
Wewe ss ndo mwanaume Mashine hongera mkuu hpa najua wanaopapatikia wake za watu wajifunze
 
Kwani ungemuacha tu huyo mwanamke ungepungukiwa nini?
 
Mzee hayo mapigo ya ki Bruce Lee, unang'oa mtu meno na mwingine kavunjika mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…