Juandeglo
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 1,041
- 2,813
Salamu zenu nyote.
Niende moja kwa moja kwenye mada. Katika kuperuzi mitandao nimekutana na mtu mmoja mwenye mtoto alie na cancer ya damu. Lakini pia mke wake alishafariki miaka ya nyuma so ni single father (maybe or maybe not ukweli anaujua mwenyewe). Lakini kabla ya mkewe kufariki siku moja kabla walikuwa wamegombana sana ugomvi mkubwa. Mwamba kaenda mishe siku inayofata mara chap simu ya hospitali, kuibuka mle wife kashakata kamba kitambo. Mpaka leo jamaa anajilaumu kuwa mke kaondoka hata hakuomba samahani..hawakuwa sawa. Inamtafuna deep inside mpaka leo.
Ninachojaribu kusema ni nini?? Uhai una thamani sana wakuu. Maisha ya umpendae yana thamani sana kwako. Humu mitandaoni hasa jf wengi sana hatuijui thamani ya wanaotupenda au tunaowapenda. Tunawachukulia easy tu kisa tunawaona. Iwe ni baby mama, mke, mzazi, mtoto, dada au kaka. Hatumthamini mtu from deep in our hearts. Kwa kisingizio cha kutafuta maisha yetu ya baadae.
Sisemi kwamba usitafute life hapana mkuu. Tafuta ili usidharaulike but katika kufight huko mthamini umpendae na akupendae. Iko siku isiyo na jina utashangaa amepotea kwenye uso wa dunia. Atarudi kwa muumba. Hapo ndipo utagundua umuhimu wake au wao kwako. Utatamani sekunde ili umwambie nakupenda. Utatamani urudishe muda nyuma muishi kwa amani, msichezee muda Mungu aliowapa hapa duniani. And it will be too late.
Please..ukipata a chance ya kumwambia mtu samahani, pole, nakupenda, nakuthamini and hata ukaenda extra mile ukamfanyia jambo kubwa kwa kumpa maisha mazuri iwe ni fedha, nyumba, kiwanja au muhogo wa kuchoma kama zawadi please do it. Roho ya majivuno, kiburi, dharau usiilee ndani yako tena ikatae. Akishaondoka huyo, na hizo roho zinaondokaga..kinachofata majuto, majonzi, simanzi...and it will be too late. And a chance doesnt come twice utadeal na mabedui tu yaliyobaki.
Please...tuache drama na hisia kutupelekesha. Reason na ona thamani ya mtu umpendae. Weaknesses kila mtu anazo. Push them behind and focus on somebodys strength. Wote mnaosemaga sijui mke wangu this, mke wangu that...mnajua deep inside ana strength ambazo ulimpendea in the beginning tena kubwa tu. Basi angalia..focus on that strength..hili baya moja litasepa tu...
Ni ushauri tu lakini. Mzuri beba, mbaya acha.