Muda gani umgegede kabla ya kujifungua?

Muda gani umgegede kabla ya kujifungua?

Galadudu

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
2,304
Reaction score
780
Nimekuwa najiuliza sana kwamba unaruhusiwa kugegeduana na mwanamke muda gan kabla ya kujifungua?......maana niliwahi kuambiwa kuwa eti hata cku moja kabla ni ruksa tu...sasa kwa mnaofahamu hebu nijuzeni
 
tena cku moja kabla ya kujifungua ndo kuna mautamu zaidi
 
Kila siku mara nyingi iwezekanavyo ili kutanua njia.
 
hadi siku ya mwisho anaingia labour labda kama ana complications
 
Naendelea kukusanya maoni yenu tu ili ucku nijue nachukua uamuzi gani
 
ivi nyie mlotoka jeshi mmepewa siku ngapi za kufanya aplication za vyuo??
 
Mpaka dakika ya mwisho mradi wote mmeridhia....... tengeneza njia mkuu
 
Mm aliyekuwa mke wangu nilimgegeda usiku kamaa saa nne then saa nane akapata uchungu na kushusha kamanda la nguvu.soo haina madhara kiafya japo huwa kuna mananiii yanabaki bak lakin mtoto anaoshea safiiiii
 
Back
Top Bottom