Amegoma kuondoka hai sasa ataondoka maiti,hana haya huyu baba na huu ni mfano wa watawala wengi Africa:sick:
True story. Naona anashindana na nguvu ya umma! Amesahau nguvu ya umma ni nguvu ya Mungu.
Viongozi wa Afrika natumaini mioyo yao inadunda na kukaribia kutoka kabisa! Hususani huyu mkwere! Akae mkao wa kuondoka kwani nguvu ya umma zaidi ya inayoonekana Misri itaunguruma TZ punde.
Egyptians are now chanting 'REVOLUTION TIL DEATH, IF MUBARK WANTS TO DIE IN THIS COUNTRY,THEN WE ARE READY TO DIE UNTIL YOU LEAVE'
Nashangaa hizi jeuri wanazitoa wapi watawala wetu,wanafikiri wanatawala mawe au,nimesisimkwa na ujasiri wa Mubarak
kauli kama yako nimeshaitoa hapa zaid ya mara 5,waafrika hatuwezi kupambana kijasiri kama waarabu hakika tumeubwa na uoga wahali yajuu,tutake tusitake waarabu nimajasiri na mashujaa sana,hawaogopi kufa katika kudai hakizao.Ukiondoa waarabu wengi wa waafrica maneno mengi matendo 0,kila mmoja anataka kujipatia umaarufu tu lakini si kuwa wanauchungu na nchi yao na uoga uliopitiliza.
Kweli wahenga walisema siku ya nyani kufa matawi yote huwa yanateleza. Inaonekana jamaa waliomwandikia Mubarak spichi yake wamechemsha kinoma! Akina Salva mnajifunza hapo?
hiyo sauti ya AK47 naona inatokea kwa wanajeshi wanaowaonya jamaa wasilete fujo au watakiona cha moto!naona sasa hali si shwari tena Alexandria.
MwanaF1 labda Mubarak trick anayotaka kucheza ni kubaki madarakani hasi pale uchaguzi mkuu utakapofanyika ili between huu muda aweze kuappoint mtu ambaye baadae atakuja kulinda maslahi yake pindi pale huyo aliyependekezwa na Mubarak atakapokuwa Rais ila all in all watawala wa Afrika sijui ni kwanini huwa ni vigumu sana kuachia madaraka as if wameambiwa kuwa hayo ndiyo maisha yao na kuwa hawana maisha mengine zaidi ya UraisEgyptians should stand their ground if they want to see change. If Mubarak stays on until September who knows what will happen then. Mubarak should step down and allow an interim government to be put into place until elections later this year.
Tatizo la watawala wa Kiafrika wakiishangia madarakani ni kama vile wameambiwa you will rule this country forever including you family and sonsatumie busara tu ya kuondoka. Kwani anafikiri alizaliwa awe Rais wa maisha?? Hakujua kwamba kuna siku atatakiwa kuondoka??? VIONGOZI WALIOLEWA MADARAKA WANAMATATIZOOOOO??
Nyanda sisi tunajua kupiga mdomo sana na porojo nyingi hatuna lolote lileWatajifunza kweli hao? Maana akili zao zinawatuma kua yanayotokea Misri hayawezi tokea TZ. So wanaangalia ilo tukio ka sinema au tamthilia. Ila watapigwa na bumbuwazi kwa kile kitakachotokea TZ punde.
AMANDLA
Utashangaa pale atakapoondoka madarakani na mtu wa kuiongoza Misri akapatikana tatizo sio waandamaji kutokuwa na viongozi, wala wapinzania kuwa shagalabaghala kuna zaidi ya haoMubarak akiondoka madarakani leo nani atatawala? Maana hao waandamanaji hawana viongozi...wapinzani wenyewe wako shaghalabaghala ndio maana unaona maopportunist kama akina El Baradei wanataka seize the moment.