Muandamizi wa jeshi la Burundi ameuwawa leo ndani ya makao makuu ya jeshi la Burundi

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,418
9,209
150909104332_burundi_army_512x288_ap_nocredit.jpg

Mkuu wa jeshi auawa kambini

Afisa mmoja muandamizi wa jeshi la Burundi ameuwawa leo ndani ya makao makuu ya jeshi la Burundi.

Kanali Darius Ikurakure alikuwa Kamanda wa kambi ya kijeshi ya Muzinga, nje kidogo ya jiji la Bujumbura. Kambi ya Muzinda iko kilomita 30 kutoka mji mkuu wa Bujumbura.
150513153349_burundi_military_coup_624x351_ap.jpg

Kanali Ikurakure alikua msatari wa mbele katika harakati za kuzima maandamano na ghasia dhidi ya rais Pierre Nkurunziza

Kanali Ikurakure alikua msatari wa mbele katika harakati za kuzima maandamano na ghasia zilizotokea baada ya Rais Pierre Nkurunziza kutangaza kuwania muhula wa tatu mamlakani.

Duru kutoka kwa jeshi la burundi zinasema kuwa kanali huyo alipigwa risasi na mwanajeshi mwenza.

Chanzo: BBC
 
Afisa mmoja muandamizi wa jeshi la Burundi ameuwawa leo ndani ya makao makuu ya jeshi
la Burundi.
Kanali Darius Ikurakure alikuwa Kamanda wa kambi ya kijeshi ya Muzinga, nje kidogo ya jiji la
Bujumbura.
Kambi ya Muzinda iko kilomita 30 kutoka mji mkuu w- .
Kanali Ikurakure alikua msatari wa mbele katika harakati za kuzima maandamano na ghasia
zilizotokea baada ya Rais Pierre
Nkurunziza kutangaza kuwania muhula wa tatu mamlakani.
Duru kutoka kwa jeshi la burundi
zinasema kuwa kanali huyo alipigwa risasi na mwanajeshi.
Source BBC
 
hata nkurunzinza mwenyewe mwaka huu hautaisha kitu kitu kitajipa awaachie warundi waongozwe na wamtakaye!
 
ngoja na sisi wenye akili fupi tuchangie 'kwa kuwa ni mwanajeshi wa burundi basi zitakuwa njama za kagame, angekuwa wa iran au urusi ingekuwa njama za marekani'
 
Back
Top Bottom