Alice Gisa
Senior Member
- Sep 6, 2014
- 172
- 417
Salaam wakuu.
Baada ya kutazama vipaumbile vya vyama 7 katika Uchaguzi huu. Ambavyo nimeweza kutazama na kusikia. Bila ajizi naomba niweke wazi.
Kipaumbele cha kuwa na Muafaka wa Kitaifa kama kilivyoelezwa na NCCR-Mageuzi ndiyo kipaumbele bora chenye kubeba dhima nzima ya uendelevu wa taifa letu.
Jana kupitia TV ya Channel Ten kipindi cha Tukutane Oktoba 28 nilipata wasaa mujarabu kusikiliza uchambuzi wa Ilani ya Muafaka wa Kitaifa kama ilivyowasilisha na mtu toka chama hicho aitwaye Frank Makaranga
Zaidi kabla ya kukoment pitia Link hapo chini ujisikilizie kwanza.