GE2025 Mtwara: Wanachama wa CCM Kata ya Namwanga wamkataa diwani aliyeongoza kura za maoni

GE2025 Mtwara: Wanachama wa CCM Kata ya Namwanga wamkataa diwani aliyeongoza kura za maoni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Wanachama wa CCM Kata ya Namwanga, mkoani Mtwara wamekutana na kuazimia kumkataa diwani aliyeteuliwa katika uchaguzi wa kura za maoni. Hatua hiyo imefikiwa baada ya vikao vyao vilivyofanyika katika kijiji cha Nakalola, wilayani Masasi ambapo wameeleza hoja zao za kumkataa mteuliwa huyo.

 
Hebu fafanua vizuri ,aliyeteuliwa ni mwingine tofauti na aliyeongoza kwenye kura za maoni?
 
Back
Top Bottom