Mtwara Kuwa Hivi?

Huko POSTA anakokaa Vasco Dagama kumewashinda na kunanuka MAVI mpaka aibu sembuse MTWARA!

Amini usiamini ndio ukweli wenyewe........gesi isipotoka Mtwara kutakuwa hivyo! VD anataka badala yake KIWANGWA ndio kuwe hivyo na sio MAGOGONI bana!
 
Kamwe haiwezi kutokea labda miaka elf moja ijayo.
 
Dar es Salaam, Mwanza, Arusha, Dodoma imeshindwa kuwa hivi, iwe Mtwara. Baada ya miaka mingapi ?

Provided gas haitoki........mbona Kigali imewezekana kujaribu na kuthubutu? Nyie mlizowea Mtwara ni SINDIMBA tu!

 

Amini usiamini ndio ukweli wenyewe........gesi isipotoka Mtwara kutakuwa hivyo! VD anataka badala yake KIWANGWA ndio kuwe hivyo na sio MAGOGONI bana!

Ila Vasco Da gama wamemuweza kwakweli unajua kuna tetesi kwamba Chuo cha usimamizi wa fedha IFM kina eneo kubwa sana Bunju walikuwa wana mpango wa kukipeleka huko, nasikia ameamuru kiwe mkoa wa Pwani na eneo limeshatengwa
 
Kuna msemo wa Utani

Mzungu akilala anakuna Kichwa
Mbogo anakuna Nyeti zake


...................................................
...................................................
 
Provided gas haitoki........mbona Kigali imewezekana kujaribu na kuthubutu? Nyie mlizowea Mtwara ni SINDIMBA tu!

[/QUOTE

Kigali nako walikuwa wabinafsi wa kuzuia gas kutoka ? Au rasilimali wanapata kutoka kwa Mdogo wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…