Nigga What
Senior Member
- May 1, 2021
- 164
- 448
Korosho Magu aliua,Miaka ya hivi karibuni nimeshuhudia idadi ndogo ya watu kuliko kipindi cha miaka ya 2014 nilipokuja mara ya mwisho mtwara.
Biashara nyingi zimefungwa, vyuo vimepunguza udahili na pia maeneo mengi yapo kimya kuliko kawaida.
Mtwara ni moja ya miji yenye potential kubwa sana Tanzania. Kama kuna mkoa ulitakiwa kuwa vizuri baada ya Dar, Mwanza, na Tanga basi ni Mtwara a.k.a Gas city
Nini kinaendelea kuifanya Mtwara ipoe?
Mjue Mtwara ilikuwa inamilikiwa na CUF na ujue lengo kuu la yule jamaa wa March 2021 ilikuwa ni kuua chochote chenye harufu ya upinzani. Ona mpaka DSM aliua kabisa kuanzia wafanyabiashara wakubwa hasa wale aliohisi wana support upinzani, kuvunjia Raia nyumba hasa pale penye upinzani mbali na mambo mengi tu. Ila ninaamini Mtwara na Lindi zitanyanyuka tena.Miaka ya hivi karibuni nimeshuhudia idadi ndogo ya watu kuliko kipindi cha miaka ya 2014 nilipokuja mara ya mwisho mtwara.
Biashara nyingi zimefungwa, vyuo vimepunguza udahili na pia maeneo mengi yapo kimya kuliko kawaida.
Mtwara ni moja ya miji yenye potential kubwa sana Tanzania. Kama kuna mkoa ulitakiwa kuwa vizuri baada ya Dar, Mwanza, Arusha na Tanga basi ni Mtwara a.k.a Gas city
Nini kinaendelea kuifanya Mtwara ipoe?
Halafu mlipigia kuraUmeniwahi kuandika mkuu ni home City nilipata kutembelea maeneo ya bima na chuo cha SAUTI ni huzuni ...Jiwe hakustahili kuwa Rais kabsa ...Mzunguko wa pesa hakuna kiufupi na watu wamefilisika sana..
Kumbe sio kanda ya kaskazini tu imedidimizwa na jiwe hadi Mtwara?Baada ya kugundulika gesi mtwara pamoja na mafuta kulikuwa na kampuni za kigeni nyingi zikifanyia tafiti, kampuni hizi ziliajiri raia wengi wa kigeni kutoka south Africa, Nigeria, Zambia , Zimbabwe na wazawa pia .
Alstar ilijikita pale bandarini mwisho wa siku ikafungasha virago.
Hizi kampuni zilichangia kiasi kikubwa wafanyabiashara wazawa pia kuingia mtwara kuaza kuwekeza Ilhali hizi kampuni zingekuwepo mpaka leo mtwara ungekuwapo Kati ya miji mitamu Sana nchini Tanzania.
Mwendazake kauharibu huu mji kwa kiwango kisichoelezeka.
Bila kusahau kuliua jiji la DSM ambalo ndilo kubwa lao la Upinzani. Hakika ndugu yule alikuwa mtu wa chuki na visasi. Hivi kwa maendeleo ya mkoa wa DSM na uchangiaji wake kwenye pato la Taifa unaweza kulivunja? Jiji la miaka nenda Rudi? Jiji la historia? Akaacha Ilala iwe jiji kwa kuwa Ikulu iko Manispaa ya Ilala. Maeneo ya Kinondoni, Ubungo, Kawe, Kibamba kote ni Fire. Kigamboni alimanusura. Mimi ni .CCM lakini kwa kuwa tuliruhusu upinzani sioni sababu ya kuwachukia maana hata ndugu zetu na majirani wapo ambao ni Wapinzani. Je tutawachukia na kuwatenga? Muhimu huwa tunapingana kwa hoja tukikutana na hatujawahi kuwa maadui. Nimefurahi kuwa Mh. Rais sasa watakaa meza moja na wenzetu Wapinzani. Mwisho wa siku sote ni Watanzania.Mjue Mtwara ilikuwa inamilikiwa na CUF na ujue lengo kuu la yule jamaa wa March 2021 ilikuwa ni kuua chochote chenye harufu ya upinzani. Ona mpaka DSM aliua kabisa kuanzia wafanyabiashara wakubwa hasa wale aliohisi wana support upinzani, kuvunjia Raia nyumba hasa pale penye upinzani mbali na mambo mengi tu. Ila ninaamini Mtwara na Lindi zitanyanyuka tena.
Issue ya Gas na Dangote huenda ikawa pia ni Siasa. Ngoja tuone kwa sasa.
Kuna jamaa mmoja jirani yetu alifariki sasa alikuwa na Roho mbaya sana. Wachimba kaburi wakawa wanachimba huku wanasema. Tuchimbe futi nyingi ili Marehemu asije akaamka akaweza kupanda Arudi DUNIANI. Mwingine akakazia hivi ni wapi tutapata lile Jiwe la Fatuma (jiwe kubwa wanalofumia wezi kuvunjia milango ya nyumba miaka ya zamani kabla ya Teknolojia ya silaha. Japo bado baadhi ta maeneo yanatumika) tuweke juu ya kaburi hata akifufuka asiweze kutoka. Nilihadithiwa nikashangaa sana. Maajabu hayataisha duniani.Baada ya kugundulika gesi mtwara pamoja na mafuta kulikuwa na kampuni za kigeni nyingi zikifanyia tafiti, kampuni hizi ziliajiri raia wengi wa kigeni kutoka south Africa, Nigeria, Zambia , Zimbabwe na wazawa pia .
Alstar ilijikita pale bandarini mwisho wa siku ikafungasha virago.
Hizi kampuni zilichangia kiasi kikubwa wafanyabiashara wazawa pia kuingia mtwara kuaza kuwekeza Ilhali hizi kampuni zingekuwepo mpaka leo mtwara ungekuwapo Kati ya miji mitamu Sana nchini Tanzania.
Mwendazake kauharibu huu mji kwa kiwango kisichoelezeka.
Hapana walipitishana wenyeweHalafu mlipigia kura
Yule jamaa hakuwa mtu wa kawaida.Mjue Mtwara ilikuwa inamilikiwa na CUF na ujue lengo kuu la yule jamaa wa March 2021 ilikuwa ni kuua chochote chenye harufu ya upinzani. Ona mpaka DSM aliua kabisa kuanzia wafanyabiashara wakubwa hasa wale aliohisi wana support upinzani, kuvunjia Raia nyumba hasa pale penye upinzani mbali na mambo mengi tu. Ila ninaamini Mtwara na Lindi zitanyanyuka tena.
Issue ya Gas na Dangote huenda ikawa pia ni Siasa. Ngoja tuone kwa sasa.