hakuna mtungi used na ukitaka mpya uende kiwandani, maana hat huo mpya gesi ikiisha lazima ukabadilishe na wowote utakaokuta kwa seller au la uwe unaenda kiwandani kujaza hiyo gesi ili ubakie na huo mpya,Kwa anayeuza mtungi wa GAS 15kg,ambao umetumika(used)
naomba anicheki 0712 077671( Whatsap)
Bajeti 40,000/-
Mkuu MTUNGI Mpya wa kg15 in tsh 45000, kwa nini utafute wa zamani?