PostGE2025 Mtumishi wa Mungu Kuhani Mussa amewajia juu wanao beza juhudi za Rais Samia, ni ubaguzi wa kidini

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Kuhani Musa amewajia juu wale wanaobeza juhudi za Mh. Rais Samia katika kuleta maendeleo nchini. Amesema amepokea nchi katika mazingira magumu, na kwa yale aliyoyashuhudia, ifike mahali tumwogope Mungu. Ameeleza kuwa ni akili za darasa la saba kuona kwamba “huyu ni Mwislamu, mimi ni mchungaji” ninapomkataa, jambo ambalo ni kueneza udini. Amesisitiza kuwa huo ni ubaguzi wa dini na ametoa wito kutoeneza chuki hizo.

Pia Soma: Nabii aliyechangiwa Milioni 100 na Rais Samia, Kuhani Musa adai atazungumza mema aliyofanya Rais

Kuhani Musa amewajia juu wale wanaobeza juhudi za Mh. Rais Dkt. Samia katika kuleta maendeleo nchini. Amesema amepokea nchi katika mazingira magumu, na kwa yale aliyoyashuhudia, ifike mahali tumwogope Mungu. Ameeleza kuwa ni akili za darasa la saba kuona kwamba “huyu ni Mwislamu, mimi ni mchungaji” ninapomkataa, jambo ambalo ni kueneza udini. Amesisitiza kuwa huo ni ubaguzi wa dini na ametoa wito kutoeneza chuki hizo.
Tapeli mwingine huyu, hamna kitu hapo
 
Amina mtumishi wa Mungu neno lako limetugusa wengi.
 
Kuhani Musa amewajia juu wale wanaobeza juhudi za Mh. Rais Samia katika kuleta maendeleo nchini. Amesema amepokea nchi katika mazingira magumu, na kwa yale aliyoyashuhudia, ifike mahali tumwogope Mungu. Ameeleza kuwa ni akili za darasa la saba kuona kwamba “huyu ni Mwislamu, mimi ni mchungaji” ninapomkataa, jambo ambalo ni kueneza udini. Amesisitiza kuwa huo ni ubaguzi wa dini na ametoa wito kutoeneza chuki hizo.

Pia Soma: Nabii aliyechangiwa Milioni 100 na Rais Samia, Kuhani Musa adai atazungumza mema aliyofanya Rais
Hawana chao , tukishachukua Nchi .
 
Linapokuja swala la kuongea mbele ya camera linahitaji busara sana. Naamini hata yeye akiwa mwenyewe chumbani anajisikiliza atakuwa anajishangaa
 
Back
Top Bottom