Mtumishi unakosa nyumba , magari na maisha bora ! Si ujilipue kwenye mshahara wako ?

Duuh. Tunasafari ndefu ya kujua maisha bora na mazuri ni yapi? Nyumba na gari ckipimo sahihi kuwa unaishi vzr pia

Kipimo sahihi kwako Ni nn? Maana kwa sasa nyumba na gar Si anasa Ni kipimo cha maendeleo pia.
 
Ujilipue then uelekee wapi kwenye magari na maisha bora?
 
Ingawa umeandika kimadharau ila kwa mbaali unapoint...ila jua wanatoka kwenye malezi tofauti tofauti...mtumishi aliyetokea bushi most probably kipao mbele chake kitakua kununua kiwanja na kujenga kwahiyo ataishi maisha ya magumu sana mpaka hiyo nyumba iishe maana atakuwa anazika mshahara wake kwenye ujenzi....mtumishi aliyezaliwa magomeni most probably kipao mbele chake cha kwanza ni kununua IST na kupiga misele weekend kwasababu ni vitu alikua anavitamani siku nyingi ila basi tu alikua hana kiremba
 
Laki 9 unaona kuuuuuuuubwa !!!!! Maskini hahahahahahaa! Inawezekana we huna ajira! Unabangaiza kitaaa! Haahahaa

Ungejua machungu ya mkopo! Usingenena chochote !
 
Ukute jamaa bado linakula na kulala kwa shemeji huku likisikilizia dadake anavyopigwa bao! Eti nalo linajidai kutoa ushauri! Hivi kula nyama ndicho kipimo cha maisha bora?
 
we endelea kushinda ghetto unacheck movies za porn tu..ukikua utajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…