misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 13,608
- 9,264
Kabisa mkuu.Ukikua utaelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuu.Ukikua utaelewa
Duuh. Tunasafari ndefu ya kujua maisha bora na mazuri ni yapi? Nyumba na gari ckipimo sahihi kuwa unaishi vzr pia
Ujilipue then uelekee wapi kwenye magari na maisha bora?Unakuta Mtumishi wa Umma au Taasisi Binafsi ana familia kabisa lakini kapanga vyumba viwili, hana usafiri (gari private) na mlo wake na mavazi ni wa hovyo hovyo tu. Si uache kazi uangalie upande mwingine wa maisha ? Shida nini ?!
Unang'ang'ana kwenye daladala na watoto aisee ! Watoto hawazaliwi ili waje kusota huku duniani. Unazaaje wakati huna uhakika na maisha yako , Why?
Mtu analipwa mshahara mpaka laki 9 ( take home ) lakini unaishi kijinga jinga kama mkimbizi. Why usikope hata Mil 15 huko ubadilishe maisha yako ? Kula nyama mpaka mganga aseme.
Kopa kopa kopa to the Maximum! Acha woga.
Laki 9 unaona kuuuuuuuubwa !!!!! Maskini hahahahahahaa! Inawezekana we huna ajira! Unabangaiza kitaaa! HaahahaaUnakuta Mtumishi wa Umma au Taasisi Binafsi ana familia kabisa lakini kapanga vyumba viwili, hana usafiri (gari private) na mlo wake na mavazi ni wa hovyo hovyo tu. Si uache kazi uangalie upande mwingine wa maisha ? Shida nini ?!