Mtumishi unakosa nyumba , magari na maisha bora ! Si ujilipue kwenye mshahara wako ?

Asilimia kubwa ya watu walioajiriwa wanafanya kazi wasizozipenda. Kuacha kazi sio kitu rahisi lazima ujipange.unaweza kuacha kazi uliyonayo baade ukajilaumu. Ndo maana mtu ana kazi inampa kula .kulipa kodi n.k hamna za kusave lakini haachi hiyo kazi.
Bora uwe na kazi kuliko kutokua na kazi kabisa.
Simaanishi iyo kazi uliyonayo hata kama hailipi ukomae nayo. Unaweza kutafuta nyingine.
 
Dogo kua uishi uyaone. Maisha si gari tu, ni MENGI. Wale wazungu waliojazana urusi world cup, hawana magari wala nyumba lkn waishi vizuri sana kutokana na mfumo Wao wa maisha. Wewe nunua gari na jidunge mademu wa kufa MTU, mwisho njoo tuambie malipo yake
 
Nawashauri wabaki huko huko huu upande mwingine inàhitaji kujipanga haswa. Angalau huko wana kopesheka. Wasije kulia kama mbwa mdomo juu. Mtumishi UKITAKA KUACHA KAZI
JIPANGE

NIMEANDIKA KWA HERUFI KUBWA
TENA JIPANGE KWELIKWELI! (msisitizo)utapata tabu kweli!!
 
Nawashauri wabaki huko huko huu upande mwingine inàhitaji kujipanga haswa. Angalau huko wana kopesheka. Wasije kulia kama mbwa mdomo juu. Mtumishi UKITAKA KUACHA KAZI
JIPANGE

NIMEANDIKA KWA HERUFI KUBWA
Nakazia "MTUMISHI UKITAKA KUACHA KAZI JIPANGE". Kama unahitaji darasa zaidi uje PM nitatoa ufafanuzi kwann nimeunga mkono na kukazia hii kauli.
Ila wale wa insparation talk wanahamasisha watu waache kazi wajiajiri bila kuwa na base nzuri wanawadanganya sana.
 
Yaani wewe, watu wamekopa hadi inasoma 20,000 ,na wameshindwa kulipa deni, acha kabisa
 
Unakuta Mtumishi wa Umma au Taasisi Binafsi ana familia kabisa lakini kapanga vyumba viwili, hana usafiri (gari private) na mlo wake na mavazi ni wa hovyo hovyo tu. Si uache kazi uangalie upande mwingine wa maisha ? Shida nini ?!

Unang'ang'ana kwenye daladala na watoto aisee ! Watoto hawazaliwi ili waje kusota huku duniani. Unazaaje wakati huna uhakika na maisha yako , Why?

Mtu analipwa mshahara mpaka laki 9 ( take home ) lakini unaishi kijinga jinga kama mkimbizi. Why usikope hata Mil 15 huko ubadilishe maisha yako ? Kula nyama mpaka mganga aseme.

Kopa kopa kopa to the Maximum! Acha woga.
Wenye akili wamekuelewa Mkuu uko sahihi kabisa.
NMB, Benki ya Zanzibar na Serikali kupitia Hazina wanatoa Mikopo mpaka Mil.75 kwa wafanyakazi lkn wafanyakaz wengi wanaishi kama alivyoeleza mleta mada sijui wana shida gani kisa tu kujisifu kwamba mishahara yao haikatwi mikopo. Amazing
 
Back
Top Bottom