Rejea @ Mshana jr, aliwahi kuja na mada hapa ya watu kuwa na chip ya kututambulisha..haikupata wachangiaji wengi lakini ule ulikua ndo ukweli wenyewe, chip zenyewe zinaanzia hapo hapo facebook sijui whatssapp ili kukutambua wewe ni nani..Ndo maana wajanja wajanja wanaona ni bora wawe na simu za torch au hawataki kabisa simu za mkononi..Ndo maana sasa hivi kuna masimu ya kupiga bure kupitia messenger au whatssapp ni muelekezo huo huo wa kuchukua data...wakikutaka wakupate kirahisi...