Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,104
- 34,921
mimi hapo sioni ni tatizo hata kidogo, binadamu hana mamlaka ya kuhukumu mwingine kwa masuala haya ya dini, ni mungu mwenyewe tu,
sasa yeye akisema ni mtume Waislamu wengine wataathirika vipi, mbona kwa Wakristo kuna Mitume mengi tu, mwacheni aanzishe dhehebu lake watakao mkubali basi watamfuata, na yeye sio wa kwanza yupo Ghulam wa Amahydia, yupo Kharifa wa USA nk
Huyu ni Ayatollah tu kama alivyokuwa Khomeini na wafuasi wake. Au labda hadi awe Mmanga ndiyo mtamkubali? 🙄
Kuna Mtume frednand, mtume kakobe, mtume mzee wa upako!
Kuna Mtume frednand, mtume kakobe, mtume mzee wa upako!