This will avail no help to him!SIKUBALI: Mtuhumiwa wa kesi ya kutishia kuua kwa kisu na kujeruhi, Siza Patrick akiwa amepanda juu ya bati la Mahakama ya Wilaya ya Tarime akipinga kesi hizo mbili alizosomewa mahakamani hapo jana. Mtuhumiwa huyo anadai amebambikiwa kesi hizo. View attachment 463711
Asubirie huko hukumu yake ataikutia juu huko huko
Mbona mambo mengine ya ajabu sasa kapandaje huko juuSIKUBALI: Mtuhumiwa wa kesi ya kutishia kuua kwa kisu na kujeruhi, Siza Patrick akiwa amepanda juu ya bati la Mahakama ya Wilaya ya Tarime akipinga kesi hizo mbili alizosomewa mahakamani hapo jana. Mtuhumiwa huyo anadai amebambikiwa kesi hizo. View attachment 463711