chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,691
- 25,830
Mtuhumiwa Donald "Chip" Pugh anayesakwa na Polisi ametuma picha ya Selfie kwa Polisi akisema picha iliyotumiwa na maafisa hao ktk tangazo la kumtafuta haikuwa ya kupendeza. Aliwatumia polisi picha aliyojipiga mwenyewe na kuandika ujumbe unaosema: "Hii hapa picha yangu nzuri, hiyo mliyotumia ni mbaya sana”.
Tupe maoni yako
Chanzo:EATV
Tupe maoni yako
Chanzo:EATV