Last year jamaa wa uveeceeceeemee alighushi gamba la watu wa mfumo akaingia hotelini akashindwa kulipia gharama akaweka gamba lake feki rehani.View attachment 548456
Jamani Lengai hujaacha tu?
Aaahhhh
Mungu amsaidie ni Kijana mwenye uwezo mkubwa sana kiakili, anaweza kujieleza vizuri mno. Ana guts za uongozi.sijui pepo gani linamfuataga huyu Kijana lol.
Shida IPO kwenye pesa na wadada.
My college mate.