Mtu mzima hovyoooooooooo

Status
Not open for further replies.
mmmh!!! Haya tena mabig! Mtu akutukane bila sababu labda atakuwa mgonjwa wa akili unajua sometimes unaweza ukawa unaongea na mtu kumbe mwezi mchanga pole sana bandugu..........
 
Ameniambia wewe ndiye uliyeanza kumfuata fuata na vineno vya mapenzi wakati yeye ana wake.
Halafu na mizinga juu, ili kutuliza mzuka wako akaamua kukupa tusi dogo tu usimfuatefuate.

Msinirushie mawe miye mjumbe tu!!
 
Ameniambia wewe ndiye uliyeanza kumfuata fuata na vineno vya mapenzi wakati yeye ana wake.
Halafu na mizinga juu, ili kutuliza mzuka wako akaamua kukupa tusi dogo tu usimfuatefuate.

Msinirushie mawe miye mjumbe tu!!
aahhahahhahah bora ulivojibu fasta!
si nilikuwa najua ni wewe!
:behindsofa:
salama lakini mtani!???
 
Hili Jukwaa burudani sana,haipiti wiki bila mtu kutoa ushuhuda wa PM
 
mhm ss si aombe kwa ustaarabu?????nimeongea nae jana bado anatukana tuu yan ka vile mwenda wazimu flan sijui kachanganyikiwa

unaongea naye wanini mtu asiyekuwa na adabu achana nae! Unapoteza mda na vocha zako bure! Kwani marafiki wananunuliwa bwana.... Tupa kuleeeee!!!!
 
Kesi ya Nyani umepeleka kwa Ngedere na jaji Tumbili mzee wa baraza ni Komba. Je hapo kuna hukumu cinderelalove????????????????
 

pole shost!
huenda alishaugua kichaa huyo
pia alichonena lara 1 kinawezekana!!
piga kimya!!
 
Last edited by a moderator:

hayo ndio mapenzi y mtandaoni, mnakutana, mnapendana na mnachana bila kuonana
 
Hata mimi ningekuporomoshea mineno michafu manake hueleweki ati. Hebu ona unavyojikanyaga.

Kama ni kijana, halafu kakuzidi umri sana tuuu, ina maana we ni katoto. Kama ni katoto, kwa nini unakuwa na mahusiano na watu wasio rika lako?

Tutoto twa siku hizi kichwani hamna kitu kabisa! Siku aliyokwambia ya moyoni ulichekelea, jana kakwambia ya mdomoni unakuja kushtaki kwa Kongosho, mngekubaliana hayo ya moyoni haya yote yasingetokea.

Hata hivyo pole mwaya, mwenyewe masikio yako yamezoea kudanganywa ye anakupa live, mshenzi sana huyo. Labda niulize tu swali, huyo jamaa mwenyewe ni mbunge wa CCM?
 
Last edited by a moderator:
Bandika Jinalake kwenye ubao huu..au ulikuwa una-chart na mwenzi wake?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…