kevin strootman
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 1,114
- 1,879
Jana nimepitia Uzi mmoja unaojadili Nyumba mpya ya mwijaku, wengine wanamsifia Kwa kupambana na kufikia uwezo wa kujenga Nyumba nzuri ya gorofa, wengine wanamtukana Kua hela amepata kwakua anakatwa marinda pia anasafirisha madawa ya vigogo (hawana ushahidi), pia wapo wanaosema kua nyumba sio ya kwake.
Mimi nasema HONGERA MWIJAKU KWA KUJENGA NYUMBA YA GOROFA KIGAMBONI, TENA SIO KIGAMBONI TUU NI KIGAMBONI KISOTA USHUANI, VIWANJA BEI YAKE YA MOTO SANA.
Mimi nimempongeza kwakua kafanya kitu kimeonekana, kwakua kazi zake za ubalozi WA Makampuni mbalimbali, deals za matangazo anazopata ukiachilia mbali ajira ya pale mawingu FM, mke ni CPA, muasibu wa moja ya bank hapa mjini kwanini asijenge??
Wabongo wenzangu Leo nawapa code:
Hata kama umesoma fungia vyeti kabatini, jitafute.
Mifano hii ikufikirishe uanze kujitafajari upya
*Mtoto WA Ruge ni Dj Tena msomi mzuri tuu lakini nani anamjua? Kwanini Udj haumtoi inavyotakiwa?! Halafu njoo Kwa mtoto WA mtwara miso misondo, Dogo misondo ukiachilia mbali ni RDJ EFM lakini Kila weekend anapiga kazi sana viwanja mbali mbali ndani na nnje ya dar Yani mzigo unaingia balaa, (Ubunifu, yeye kaja na wazee wa Makoti)
*Page za umbea ni nyingi sana Instagram, wanaokosoa serikali ni wengi sana Instagram, lakini Kuna mangekimambi app, Instagram ana followers Million 7 anawahamasisha walipie app wapate exclusive content, pia na Adult content anapost pia, ana subscribers zaid ya laki1 kwenye app yake wanalipia Kila mwezi Ili kuona umbea wa mastaa na sometimes videozao za uchi, kujiunga na app Kwa mwezi ni 2000
Hapo 2,000X100,000 Kwa mwezi anapata shingap? Ndio maana anakua na jeuri ya kununua umbea kuanzia laki5 kwenda mbele na anawalipa vijana wake mshahara mkubwa, kashajua kucheza na akili za wabongo
*Joti alishasemwa sana, Anti kiboga, anavaa nguo za kike na kua kama mwanamke, wengine wakasema anahamasisha ushoga, lakini Leo yule pale, aliweka aibu pembeni
Mifano ni mingi lakini kwakifupi watanzania wengi tunapenda vitu vya Kijinga kijinga, ukajua kucheza na akili za wabongo, ukaweka aibu pembeni mbona unatajirika tuu?! Njoo kwenye miziki ya bongo flava mingi inayowapa watu maisha ni ile ambayo watu wanaimba ngono, Kuna tofauti ya nyimbo za Mapenzi na nyimbo za Ngono.
Ni kukaa tuu chini kujitafuta, weka vyeti kabatini, angalia wabongo wanapenda Nini ishi nao, lakini kuchukia waliofanikiwa hakutafanya maisha yetu yawe mazuri au tupate ajira.
Pia tujue namna Bora ya kutumia mitandao ya kijamii kutupa maisha, Doto Magari mtoto wa mama kizimkazi nahapaipo, kimzaha mzaha huyu hapa anakuja, dalali maarufu hapa nchini kwasasa, anauza magari ya gharama Kwa udalali wake yadi mbalimbali za magari, kashakua balozi wa kampuni mbalimbali, kashapata deal GNM CARGO week iliopita alikua china, na jamaa unaambiwa alikua Teja tuu kinondoni pale anashusha udenda, Leo kipato chake ni kikubwa sana ambacho wasomi wengi hawana.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app