Watanzania wengi wana matatizo katika kuweza kusoma kwa ufahamu na kufuatilia mantiki.
Inakuwa kama vile inabidi katika kila post, baada ya kuandika, unatakiwa uweke Venn diagram kuonesha kwa picha ya set, subset, intersection, union etc, kuelezea ulichoandika.
Yani unamwambia mtu kimoja, yeye anajipangia kusoma kingine tofautii!