Mtu mke mtu mume?

natamani nichungulie hapo chii ya kitovu kuna nini?
 
Sura, ndevu, mkono dume! Nywele, kifua,...... jike! Mh!
 
Umbile la kike,sura ya kiume,kasuka kimwanamke,swaga ya kiume..simuelewi anashabikia jinsia ipi ...au nina makengeza?!
 
Huyu 90% ni mwanamke maana swala la ndevu hata wanawake wanazo siku hizi lakini matiti ni nadra sana wanaume kuwa nayo!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…