Mtu maarufu... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtu maarufu...

Discussion in 'Celebrities Forum' started by ngoshwe, Nov 14, 2011.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Nov 14, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Kwa taaluma yake kama Mwanasheria Mahiri, hakusoma alama za nyakati, alitumia muda mwingi , wadhifa wake na mamlaka ya Dola kuwashuhulikia wenzie, ahajua nini kitatokea kwake ( Mzee Mengi nanamfahamu vizuri, Mhe. Mbubge wa sasa wa Nyamagana nae anamfahamu, baadhi ya CCM waliohusika katika kura za maoni wanamfahamu sana tu jinsi alivyowarusha posho zao, na aliyekuwa Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Jerry Muro anayajua haya Jerry Muro asema Lawrence Masha alimtishia - Wavuti )!!!.


  Aliwahi kuyasema haya kwa Mbwembwe:

  Nyamagana MP Lawrence Masha speaks (MichuziBlog) - YouTube
   
 2. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #2
  Nov 14, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Ila kwa sasa ni mmoja wa wenye ofisi za mfukoni Rose Garden...
   
 3. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #3
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  napita njia tu!
   
 4. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #4
  Nov 14, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  whaaaat??

  is less or not equal to:Ishengoma, Karume, Masha & Magai, RIZI JK Advocates (IMMMA)??
   
Loading...