Mtu kipato chake hakifiki millioni moja ila porojo sasa

Black poison The Factor

JF-Expert Member
May 31, 2020
864
1,264
Kumekua na baadhi ya wachambuzi, na watangazaji wa mpira na baadhi ya wanaharakati ambao hawana kazi kuponda mishahara ambayo wachezaji wanalipwa na team zao, kwa madai ya kuwanyanyasa.

nikawa najiuliza mtu analipwa tulaki tu nne mpaka million moja kwa radio na television. Kubwa, halafu anakaa on mic kupiga porojo kwamba team flani inanyanyasa wachezaji, wanawalipa mishahara midogo na blabla zingine.

Unamjudge vipi mtu anayelipwa 3 mpaka 10 million kwamba anapunjwa,, wewe huto tulaki twako nani anatujudge?

Je, wewe atajaekuja kukutetea ni nani? nawewe unayejiita mwanaharakati usie na kazi malipo yako yako wapi?

Hii tabia ya kuwatetea wachezaji mnawapa vichwa mwisho wa siku wanawadharau waajiri wao,, kwani kipindi anasaini mkataba alishikiwa mtutu au panga? si alikubali mwenyewe tena akiwa mwingi wa furaha kwa kupata ajira.

Acheni wehu jiteteeni maofisini kwenu muongezewe mishahara mpunguze njaa na uchawa, nawewe mwanaharakati usiye na kitu tafta kazi mapema uzee upo siku za usoni.
 
Mimi naona wapo sahihi. Mtu analipwa kutokana na kazi wanayofanya.

Kazi ya Utangazaji wa michezo kwenye media kwa soko la Tanzania bado haijafika levo za ku worth mtu kulipwa milioni 10. Ila kazi ya kucheza mpira kwenye soko la bongo imeshafika ku worth mtu alipwe hela zaidi ya milioni 10
 
ni sawa mkuu ila ile ilikua propaganda

hao wachambuzi haeana mishahara ya mwezi hulipwa kwa siku
 
Back
Top Bottom