Mtu katili zaidi duniani

Status
Not open for further replies.
Kuropoka ni tusi! Sijalipenda. Sijakutukana mimi! Kwa nini umenitukana. Basi ni hivi: Mama yako na baba yako ndio waliropoka kukuzaa wewe

Bado unazidi kuropoka tu, kweli wewe umevurugwa!
 
amesoma na sasa anatumia elimu kwenye ufalme wa ibirisi..this is vanity/////

Psalms 127,,
Unless the LORD builds the house, the builders labor in vain. Unless the LORD ...
 

Mama yako kauliwa na huyo jamaa. !?
Mbona huoni ukatili wa ndugu zako kuwaua Albino! ?
 
Nimeangalia taarifa ya habari ya BBC usiku huu, kumbe Mohammed Emwanzi anaesemekana kua ndiye mchinja vichwa vya watu kupitia kikundi cha kigaidi cha ISS. Mwaka 2006 alikuja inchini na kukamatwa na maofisa usalama airport kwa kosa la kuingia nchini akiwa amelewa na kuwatukana matusi wafanyakazi wa uwanja wa ndege hivyo kupelekea kusitishwa kwa ziara yake na kurudishwa ulikotoka. Wakati huo huo Waziri Chikawe amekanusha taarifa za emwanzi, kua aliteswa na maofisa usalama wa Tanzania kwa maagizo ya idara ya usalama ya Uingereza.

Binafsi nimeshituka kidogo na kujiuliza yafuatayo.
1. Gaidi huyu kama asingelikua amelewa ingelikuaje, angeingia na kuishi bila shida or?
2.Alikuja nchini kufanya nini....................?
3.Nan alikua mwenyeji wake............................?
4.Nchi imechukua tahadhari gan mpaka sasa baada ya kungundua ni mtu hatari.?
5.Tuna magaidi wa kimataifa wangapi tunaishi nao kama kipimo ni ulevi na matusi airport?

Nawaza badoooo
 
Hamshindi goerge bush huyo msafi kabisa
 
Lakini mwisho wake upo tu! MUNGU yupo,walikuwepo akina Adolf Hiltler,wako wapi?,walikuwepo akina Saddam Hussein,wako wapi?,walikuwepo akina Idd Amini,wako wapi?,walikuwepo akina Osama bin Laden,wako wapi?YOTE YATAPITA.

Hata goerge bush ipo siku yake km alivyoondoka yule sharon
 
Watakua wengi tu, siku iz mara utasikia, amboni, moshi, ntwara-na tutasikia mengi maana kuna wenzetu wanasikia raha kuchinja.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…