Mwache tu1. Ni kijana mwenye takribani miaka 28 2. Hapo mwanzo alikuwa ameoa na watoto watatu,ana mashamba makubwa ya mpunga na mahindi,ana ng'ombe,ana pikipiki yake 3. Shamba lilikuwa na rutuba akilima mahindi anapata magunia 40 kila mwaka 4. Alianza ujenze wa nyumba yenye 4rooms alifikia hatua ya lenta. 5. Mwaka juzi akaingia mahusiano na mke wa mtu,akamuiba huyo mke wa mtu akaenda kijiji cha mbali kidogo,nyumbani mke wake akadai taraka na wakagawana kila kitu,nyumba,mashamba,ng'ombe na kila kitu. 6. Kwa sasa anapikipiki ya mkataba anaendesha bodaboda,amepanga huku akimuhudumie mkewe aliyekuwa mke wa mtu,kwani mpaka sasa ni mgonjwa. 7. Je,kama kijana mwenzako,unamsaidiaje?
Nakushauri umwache huyo mke wa mtu na urudi nyumbani kwenu/kwako, usikae kijiji Cha mbali.. 5. Mwaka juzi akaingia mahusiano na mke wa mtu,akamuiba huyo mke wa mtu akaenda kijiji cha mbali kidogo,nyumbani mke wake akadai taraka na wakagawana kila kitu,nyumba,mashamba,ng'ombe na kila kitu.
Tatizo alishindwa kufunga zipu na kucontrol hisia zake za mapenzi.1. Ni kijana mwenye takribani miaka 28 2. Hapo mwanzo alikuwa ameoa na watoto watatu,ana mashamba makubwa ya mpunga na mahindi,ana ng'ombe,ana pikipiki yake
3. Shamba lilikuwa na rutuba akilima mahindi anapata magunia 40 kila mwaka 4. Alianza ujenze wa nyumba yenye 4rooms alifikia hatua ya lenta
. 5. Mwaka juzi akaingia mahusiano na mke wa mtu,akamuiba huyo mke wa mtu akaenda kijiji cha mbali kidogo,nyumbani mke wake akadai taraka na wakagawana kila kitu,nyumba,mashamba,ng'ombe na kila kitu.
6. Kwa sasa anapikipiki ya mkataba anaendesha bodaboda,amepanga huku akimuhudumie mkewe aliyekuwa mke wa mtu,kwani mpaka sasa ni mgonjwa.
7. Je,kama kijana mwenzako,unamsaidiaje?
Ni kamzozo!!!