Mtu anayekurupukia mambo hafai ndio maana hadi leo tunalipa mabilioni kwa kurupukia limeli la samaki

Nyumbu at work, kazi yenu kuvizia vizia kama mafisi na kuwaombea mabaya ccm na viongozi wake wakati kwenu ya dikteta mbowe na fisadi lowaasa hamyaoni. Kweli nyAni haoni ... na mtaisoma namba

wewe mwenyewe hapo ulipo umepigika halafu unaita wenzako nyumbu.hakuna uchama mashuleni.hospitali.na kwenye huduma nyingine hivyo kama ni kusoma namba utahusika kikamilifu.
 
Hizi kurupukurupu hizi ambazo hazina critical analysis, zitaimaliza Tanzania. Sasa ona badala ya kuchunguza kwa kina nini kilisababisha MRI na Sit Scan kufa na je zilihitaji matengenezo au kununuliwa mpya? mnatoa order tu na kulipa mabilioni ya kodi zetu zitengenezwe huku mkikodolea macho kamera....Ona sasa siku tatu zimekufa zinahitaji mabilioni mengi

Tanzania ili isonge mbele inahitaji mtu aliyetulia mwenye kuchuja jambo kwa kina.

Mtu huyo sio mwingine bali ni.....
Umeshaisoma namba 88888888 zinakuhenyesha kichwani pole sana dumia hedex utakaa sawa tu.
 
Tatizo halikuwa kwa CCM au Dkt Magufuli. Tatizo lilikuwa upinzani kuweka mtu wa hovyo ambae ni fisadi na mtu dhoofu kabisa, huyo fisadi Lowassa. Sababu ya CHADEMA kukataliwa nchi nzima na Watanzania ni kutokana na maamuzi ya Mbowe na Mtei kukiuza chama kwa fisadi Lowassa. Hivyo lawama zote waelekezeeni hawa watu wawili: Mbowe na Lowassa.

Hivi ufikirio wako unafikiri sawasawa?
 
Unafahamu zimewezesha maisha ya wagonjwa wangapi hizo mashine kwa muda huo mfupi zilipokua nzima? Je unafikiri maisha ya wangapi yangekua umautini kama hata zoezi la kuzikarabati kwa kufanya kazi kwa muda mfupi lisingefanyika? Kipi kina thamani,hizo bilioni unazosema kupotea au uhai wa watu?

Na sasahivi nini kinaendelea kwa mamilion y watanzania wanaozihitaji? Rudi ukasome uzi tena acha kurupukurupu
 
Tatizo halikuwa kwa CCM au Dkt Magufuli. Tatizo lilikuwa upinzani kuweka mtu wa hovyo ambae ni fisadi na mtu dhoofu kabisa, huyo fisadi Lowassa. Sababu ya CHADEMA kukataliwa nchi nzima na Watanzania ni kutokana na maamuzi ya Mbowe na Mtei kukiuza chama kwa fisadi Lowassa. Hivyo lawama zote waelekezeeni hawa watu wawili: Mbowe na Lowassa.

Jitahidi punguza wivu tutashindwa kukutofautisha na mwanamke
 
Nyumbu at work, kazi yenu kuvizia vizia kama mafisi na kuwaombea mabaya ccm na viongozi wake wakati kwenu ya dikteta mbowe na fisadi lowaasa hamyaoni. Kweli nyAni haoni ... na mtaisoma namba

Namba ipi mkuu? Ya ct scan au mri?
 
Tatizo halikuwa kwa CCM au Dkt Magufuli. Tatizo lilikuwa upinzani kuweka mtu wa hovyo ambae ni fisadi na mtu dhoofu kabisa, huyo fisadi Lowassa. Sababu ya CHADEMA kukataliwa nchi nzima na Watanzania ni kutokana na maamuzi ya Mbowe na Mtei kukiuza chama kwa fisadi Lowassa. Hivyo lawama zote waelekezeeni hawa watu wawili: Mbowe na Lowassa.

Ni kweli mkuu. Lowassa na Dikteta mbowe washtakiwe kwa kosa la kuiba /kuhujumu serikali Tsh 3billion za matengenezo ya MRI na CT Scan. Yaani 3b ndani ya siku 3 imeshaharibika? Lowassa hafai, yaani alishindwa kutoa amri ya kununuliwa MRI mpya??? Poor lowassa, pooor Mbowe....pooor ukawa.....
 
Nyumbu at work, kazi yenu kuvizia vizia kama mafisi na kuwaombea mabaya ccm na viongozi wake wakati kwenu ya dikteta mbowe na fisadi lowaasa hamyaoni. Kweli nyAni haoni ... na mtaisoma namba

Cheki mabata ya ccm yanavyo harisha! Kwahiyo Mbowe na Lowassa ndio wamefisadi mashine zisifanye kazi?
 
Mimi ni ukawa lkn naupenda ukwl sijaona kosa la magufuli wa watu hapo ulitaka alete tume ya kuchunguza mashine imekufa na nn?
 
Mliozoea michakato, analysis, study, order, presentation, etc. Lo hata kwenye maisha ya watu? mwenye akili mbovu tu kama wewe ataunga mkono mashine kuwa mbovu miezi 2 na ushee, Halafu unatetea michakato, na subiri mtafukuzwa wote. Hapa kazi tu, Bla bla zimeisha, someti nyakati
 
Back
Top Bottom