Nyie jamaa mmeshafika!! Acha nikae pembeni0777777766 Karibu tufanye kazi
Hapana Mkuu! Apply tu kama unaimudu hii kazi maana ofa yk hajasema huenda ikawa nje sera yetuNyie jamaa mmesha fika!! Acha nikae pembeni
Uwepo wenu umebadilisha upepo.Hapana Mkuu! Apply tu kama unaimudu hii kazi maana ofa yk hajasema huenda ikawa nje sera yetu
habar ndugu, je ulishapata msaada wa mtaalamu wa Tally?Wanangu kuna mchongo nimepewa wa kihasibu ila sasa mie sijui chochote kuhusu Tally, Entry ni chache about 15-17 kila mwaka.
Kampuni ni ya supplies kwenye maofisi hasa mahospitali. Wana supply materials zaidi through local purchase na imports. Sasa inatakiwa kufile hesabu za miaka miwili 2019 na 2020!
Kama uko vizuri yani umeiva kwenye ku file na kufyatua reports kupitia mfumo wa Tally tuchekiane.
NB: Uwe vizuri kweli maana document zitapitiwa na auditor kabla ya submission.
Dah, tumepisha na hela, mimi hiyo ndio fani yangu hiyo, ndugu ikitokea nipigie 0713 555991Asee niliiacha ile kazi