bahati93
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 1,385
- 2,587
Habari ndugu zangu, kutokana na tukio lililotokea hivi karibuni nyanda za juu kusini la Vijana kupigwa bakora hadharani limenisukuma nitoe ufafanuzi hukusiana na tukio hilo.
Nitaeleza vitu vinavyosukuma fikra za mtu kutia maumivu katika mwili wa binadamu mwenzie na kutoa maelezo uhusiano baina ya bakora na utumwa.
Vyanzo ndani ya mtu anayechapa bakora
Mtu huyo ni muovu. Uovu ( evil) unatafririwa kama kukosa heshima kwa binadamu mwenzio, ndiko hupelekea mtu kutenda uovu kwa mwenzie.
Mtu anayejiona ni bora kuliko wengine na hivyo kupelekea kukosa heshima juu ya utu walionao wanyonge wake ( binadamu kama viumbe pekee walio na ufahamu yatupasa kuheshimiana kwa fursa pekee ambayo ulimwengu umetupatia )
Kukosa mlinganyo katika hisia (emotion sickness). Kuwa na hasira kupita kiasi ama chuki kupita kiasi, furaha kupita kiasi, hudhuni kupita kiasi ni baathi ya matatizo yanayomkabili.
Matatizo haya ya kihisia huwa yanatokana na malezi au nature ya mtu husika, endapo mtu alikulia katika mazingira ya kupigwa bakora, kutokupewa upendo, basi mtu huyu atakosa balance katika hisia hivyo kupelekea kufanya maamuzi mabovu kutokana na hisia zake za chuki kupita kiasi ( mtu mzima mwenye hisia za kitoto)
Kupata sababu kutekeleza chuki ( motive). Jambo la mwisho mtu muovu atakalo hitaji ni sabubu amboyo hata ikiwa ndogo kivipi ataijumuisha na mamuzi yake ya kutenda uovu, kwa case tuliyonayo kuwa na simu, kuchoma moto, kuvaa mlegezo
Haya tushamaliza na psychology behind mtu anapiga bakora Lakini hili jambo chanzo chake ni nini haswa, jibu linalopatikana ni kwamba WAKOLONI walikuja na hili jambo kama njia ya kutufunza mababu zetu kwani katika kipindi hicho WAKOLONI hawakuamini kama Wafrika ni binadamu ambao wanaupeo wa kuelewa jambo pasi kutumia bakora,( wakoloni hawatukupa heshima kama binamu their equal) walituchapa bakora kuonyesha msisitizo.
Sasa wakoloni washaondoka wametuacha tujitawale wenyewe, WAKOLONI washafuta bakora mashuleni kwao na hadi majumbani kwao, LAKINI kwanini sisi tunabaki kungangania mambo ya kale? ambayo hadi aliyetufundisha kupiga bakora ANATUOMBA tuache tabia hiyo!.
Wandugu tufikiri kwa pamoja, kadharauliana kama wanyama ni sahihii? Kushidwa kutumia akili na kutumia nguvu kutatatua shida zetu? Kuingilia majukumu ya kazi ambayo siyo yako ni sahii? Je ni sahihi kwa baba mlevi kupiga watoto wake akiwa kalewa?kuna utofauti gani ya kipigo halali na kipigo ambacho sio halali kwa watoji?
UTU NI JAMBO TUNU, TULIHESHIMU.