Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,108
- 93,139
Bila shaka hiyo nimaeneo ya pwani .wanaume wa darHabari JF,
Ofisi iko juu, floor kadhaa sasa nyuma kuna mtaa!! Kuna mojawapo ya nyumba iko vizuri sana ila wakaamua kujenga nyumba ya uani, kwa sasa ipo kwenye 'linta' haijapauliwa bado.
Mchezo uko hivi: Katika hii nyumba kuna mama mtu mzima sana japo yupo fresh tu, muda kuanzia saa nne asubuhi kuna kijana anafika kwenye hii nyumba (kama 23-26 years) akiwa na baskeli yake.
Yule mama huchukua kigodoro ndani wanaweka kwenye nyumba isiyokamilika na kuanza kufanya ngono hapo!!
Leo nimeshughudia mara ya tatu live, mwanzo mwisho kuanzia saa nne na dakika ishirini hadi saa nane nimeenda lunch nimeacha dogo anapiga mzigo kama anatafuta rupia!! Akipumua dogo dakika tano tu yupo mzigoni tena, hatari sana.
Hii ni salamu kwenu msioweza kushughulikia wake zenu, mwenyewe nimepandwa na hasira kama ni mke wangu vile.
Viserengeti punguzeni hasira wake zetu tumeoa kwa mamilioni jamani
Nawasilisha
Daaaah, mke umri gani mkuuHabari JF,

Hukuleta ushahidi wako ,ila all in all yule jimama nadhani haridhishwi na mumewe thats y kaamua kuyembea na kijana-wa-kazi.
Ninachojua kwa uhakika ni kuwa yule kijana SIO MWANAUME WA DAR.
Picha hakuna basi hata audio
Ligogoma ujue ujinga hauna umri. Na kwa sasa umejionea hayo ili ujifunze jambo.Mtu mzima sana, late 40 au early 50.