Yaan anafanya ,ndio maana hata Field zao hupelekwa mhimbili Hosp nakadharikakwaio in summary mtu aliyesoma Bachelor of science in Microbiology anaweza kufanya kazi hospitalini kama yule aliyesoma medical laboratory???
Kafanyaje???????Quality assurance officer
Kufanya field Muhimbili hakumfanyi kufanya kazi hospitalini....... anaweza kuwa mwalimu pia wa microbiology kwenye collage za afya. Asome tu..... viwanda vya vyakula na madawa vipo vingi atapata tu kazi.Yaan anafanya ,ndio maana hata Field zao hupelekwa mhimbili Hosp nakadharika
Kuna wadau wameajiliwa kabisa ,tena wengine wamesoma Sua lakin wameajiriwa kwenye maabara za hospital, ila mambo yamebadikika saiv,Kufanya field Muhimbili hakumfanyi kufanya kazi hospitalini....... anaweza kuwa mwalimu pia wa microbiology kwenye collage za afya. Asome tu..... viwanda vya vyakula na madawa vipo vingi atapata tu kazi.
Kitu gani kinamfanya asifanye hospitali mkuu
No hawezi kufany kazi katika maabara za hospital anafany kazi katika research lab, industrial lab etc....
Kweli mkuu...huyu wa Microbiology hana patient handling hajasoma hata history taking ...labda kama akiforce kufanya ila atakuwa dipu kwenye urinalysis..gram staining,field staining ,,anaweza kuchezea microscope kama zote(Patients handling) io knowledge hana
—nilitaka kusoma,nikauliza,nikajibiwa ivyo
Mkuu usijali bana! Yupo jamaa yng alisoma hiyo course...... baadae akafanya kazi ktk vyuo vya elimu ya juu viwili.... kwa sasa yupo India!
Ameenda kuongeza shule.....Yupo India kikazi au anaumwa????
Nimekupata mkuuNdio lakn ni Kwa kuforce,
Kwasababu kunamasomo basic ambayo medical lab ameyasoma yanayomsaidia katika ufanyaji Kazi wake hospitalini mfano
1) Amesoma Anatomy ambayo itamsaidia kwenye sample collection Kwa kujua Blood vessels
2) Amesoma biochemistry hii inamsaidia kwenye biochemical changes kwenye mwili wa binadamu na kuweza kujua tatizo ni lipi
3) Amesoma masomo mengine ya lab kama Hematology, Parasitology, pathology and histology, forensic sciences pamoja na laboratory management
Lakn huyu wa udsm yeye tangia alipo ingia chuo anasoma microbiology in general
Hili la kufanya field muhimbili wanakuja tu kwasababu kunamicro organism wanaokuwa isolated kwenye sampuli za wagonjwa Bas
Ila baada ya ajira kuwa ngumu graduate hawa pamoja na wasua wameomba nao Kufanya Kazi hospitalini jambo ambalo bado lipo kwenye mazungumzo ila nikinyume cha utaratibu Sehemu yao yakufanya Kazi ni nyingine kabisa, ila tuwaombee wakubaliwe na wizara
Exactly! Anaweza kufanya kabisa.
[/QUOTEkunatofauti kubwa kati ya medical microbiology na microbiology. Microbilogy in application kwenye maeneo mengi viwandani, mazingira, madini,nishati baharini, n.k.ila medical microbiology ina deal na hospital tu na ndio inakuwezesha kufanya kazi hospital