Mtu akisoma kozi tofauti na ualimu na udaktari chuo kikuu anaweza kupewa mkopo?

THEGENTLEMAN1996

JF-Expert Member
May 13, 2017
518
592
Habari ndugu zangu.
Hivi mtu akisoma vitu tofauti na UALIMU NA UDAKTARI chuo kikuu anaweza kupewa mkopo na bodi ya mikopo ?
 
Anapewa mkopo mfano kwa mwaka jana vipaumbele vya mikopo ilikuwa ni:
1. Ualimu wa masomo ya sayansi. (Science)

2. Kozi za Afya.
3. Kozi za uhandisi (Engineering) kama Artechture, Majengo/wakadiliaji majengo (Civil) etc

Na wengine wanabahatika kupata mikopo kutokana na vigezo vyao vingine kama walemavu, waliofiwa etc
NOTE:
Bt kuna watu wanachaguliwa Kusoma Udaktari au Uhandisi na wanakosa mkopo au wanapewa asilimia ndogo
 
ndugu yangu kupata mkopo imekua kama bahat kwa sasa,,mimi nipo chuo flani koz 95% ni za sayansi lakini bado wengi sana wamekosa mkopo kwa 1st yr yetu,,hata hyo edction,mm na rafk yangu alichaguliwa BSC education na hajawah kusoma private lkn mkopo kakosa,mimi nimepata 100% lakini nasema ni bahati tu.
 
Anapewa mkopo mfano kwa mwaka jana vipaumbele vya mikopo ilikuwa ni:
1. Ualimu wa masomo ya sayansi. (Science)

2. Kozi za Afya.
3. Kozi za uhandisi (Engineering) kama Artechture, Majengo/wakadiliaji majengo (Civil) etc

Na wengine wanabahatika kupata mikopo kutokana na vigezo vyao vingine kama walemavu, waliofiwa etc
NOTE:
Bt kuna watu wanachaguliwa Kusoma Udaktari au Uhandisi na wanakosa mkopo au wanapewa asilimia ndogo

naomba nku pm?
 
nawambia hamuwezi amini mwaka huu mikopo itakayotolewa ni fujo ila masharti na vigezo kuzingatiwa wew usome shule za milion 1.5-million 9 unategemea nini jiandaeni kisaikology kwa kweli wale walimu wa arts inaeleweka kabisa kwa sasa nie kuwapa mkopo ni sawa kutupa ela dampo maana mpo wengi sana na ndo mana grades zina panda kila kukicha kuziba gepu la wanao omba mkopo,...... kozi za afya private university ni nying sana uko tunajua kua mnatulazimisha kuwaletea pesa ila kipenga kikipulizwa mwaka huu hamtopona labda washushe vigezo muwapokee div 3 na div 4 kuja kusoma kozi za afya na eng kwan uwezo wa kujilipia ada wanao angalizo mkopo bahati usisite kujalibu bahati yako kama mchezo mpya wa BIKO.......:D:D:D:D:D
 
Toka mwaka huu hamna vipao mbele wala nini ambaye amesoma serikali toka shule ya msingi hadi advance mkopo mia.
Vipaumbele siasa tu huko kwa wananchi
 
Back
Top Bottom