Mtu akisoma bachelor of science with education anaweza akafanya kazi zipi?

x - mas

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
930
611
Habari wadau!nasikia wanao soma kozi hii wanakwenda kuwa walimu, lakini pia nimesikia mtu anaweza kufanya kazi nyingine kupitia hii kozi.

Naomba kufahamishwa kwa mtu ambae kasomea Bsc with education ni kazi zipi nyingine za sayansi ambazo anaweza akazifanya?
 
kwingne utakuwa mdandiaji tuu ila ww ni profession yako itakuwa ni ualimu na ndipo daima utakuwa competent nako haswaa kama ualim wa sanaa
 
sasa lengo la kuweka bed in science na bsc with education ni nini si afadhari wangeacha itumike moja tu.
 
Ulishaingia chaka nini kaa hukohuko, si mlikuwa namtaka vya mteremko mnapewa kazi bila usaili haya ukisoma ualimu huwezi kufanya kazi yoyote ile zaidi ya kufundi au ujasilimali au uwe mwizi basi
 
Ulishaingia chaka nini kaa hukohuko, si mlikuwa namtaka vya mteremko mnapewa kazi bila usaili haya ukisoma ualimu huwezi kufanya kazi yoyote ile zaidi ya kufundi au ujasilimali au uwe mwizi basi

sina maana nipo huko nataka kujua tu
 
fursa ya kazi nyingine unaipata pale utaposoma masters nyingine ambayo sio education.
 
Back
Top Bottom