NIMEKUELEWA MKUU NADHANI NI JAMBO LA KIMAZOEA NA KIMAPOKEO ZAIDINi kawaida zetu Wabongo mtu ukimwambia hata kama si wapenzi...Asee ebu naomba elfu 5 hapo...Jibu la kwanza jamaa atasema asee sina kitu kabisa ila anaendelea kujisachi mfukoni atatoka na elfu nakusema labda hii elfu 2 ndo ninayo kama itaweza kukusaidia...So Binti hajapoteza mwelekeo bado anakomaa apate walau 10 hapo..
Mtumie huku 2message ninayoipata mapenzi ya siku hizi mwanaume hatakiwi kukosa kabisa hela hiyo hela ya haraka anataka kulipia kitu alitamani ghafla hata bila kupanga au kushirikisha kabla
Ndiyo hawana tofauti na watoto. Watoto huamini baba hashindwi kitu.message ninayoipata mapenzi ya siku hizi mwanaume hatakiwi kukosa kabisa hela hiyo hela ya haraka anataka kulipia kitu alitamani ghafla hata bila kupanga au kushirikisha kabla
NI CHANGAMOTO KWA KWELI
na kuna muda wanatuaibisha mbele rafiki zao kajitapa huko kwamba muda wowote akiomba kitu kimejibu mpesa siku huna anakudhiaki mbele za marafiki zake[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] umenitoa stress aisee eti iko kiasi gani? anamaanisha mwanaume usikose hela yakumpa.
kuna wanawake majasiri dahhh wajiunge alshababu tu