Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,840
- 25,367
Namba yako mbona haipo WhatsApp ile [emoji1787]Humu ukiongea umalaya watu wazima mnoo wanashadadia ila ukiwa unataka vitu vya maendeleo huaambiwi Leo umetolewa machimbo ya waganga makonki walipo ila mtu alipokuwa nauhitaji mliona ni ngumu kumuelekeza ila humu hawakai wanadamu wema humu ni wabaya tu.
Miroho yenu ni mieusi mnarohi za Kwa Nini hamna haya kabisaa . Sijui mtu akifanikiwa inawauma ??[emoji27] Mnachosha mnapenda watu waonekane Malaya, maskini nakadhalika na unajua kabisa unaweza mtatulia mtu shida yake .
Mnakera ila kufika mtakako hata nyie mtangoja sana Kwa roho zenu .
Hata Mungu aliposema mpende jirani Yako kama nafsi Yako ila hamfai kabisa
Mnaroho mbaya mtu akitaka hata kununua kisehemu. Tu kumuelekeza akipate mnakaa kimya sio roho mbaya hiyo Leo nimetoa post ya kuelekezwa jinsi yakupata connection tu ya mtu wa morogoro anisaidie mkagoma nyie ndio hamkuiUmeifanya Jamii forums kuwa kijiwe chako cha soga,muda wowote unawaza kuandika tu..hivi utakua lini wewe?
Unazani kila mtu anaangalia maisha ya jirani yake au kila mtu anaangalia shida aliyonayo nayo ajitoe kwenye hali hiyo unadhani wengine wamekuzwa kama wewe hutaki jirani Yako hata amke salama asubuhi sio siye tumefunzwa kurekebisha yetu nakupigania vyetu sio vya watuUnataka connection ya mganga ukafanye Nini Nani awajui wabongo mlivo mna roho za kimaskini Leo ukipewa connection ya mganga konki jirani Ako akipika nyama tu utaka ukamloge pambana na Hali yak
Hujaona post ya Leo niliyoitoa nahitaji msaada wakujua viwanja na heka za morogoro ni sh. NgapiWrite your reply...Hivi Ni Nani huyo aliyekunyima msaada dadangu?
Kama una uhitaji wa kitu ama Jambo lolote njoo PM nitakusaidia
Kwenye mambo kama haya siitaji wehu Mimi pita kule peleka utani wako kwenu
Yaani mijitu Kama hii ipo humu sana halafu inasura mbaya kama Nini , unategemea kwamba wao ni msaada kumbe ni makitu makenge tu yaani mnaboa mnazani hizi MB. Ni baba Ako ananiwekea mnakeraga
Sijakujumlisha sweetyJaman punguza jazba basi
Wapi hapo siungesoma post unielekezeMsaada wa haraka unapatikana jukwaa husika. Kama ulikuwa unaulizia mashamba ungeweka andiko lako kwenye jukwa la biashara na ungepata mrejesho wa uhakika kuliko kung'ang'ana na MMU.
Nakuhukumu Kwa sababu Leo hujanielekeza nilichokuwa nakitaka Cha maendeleo sio kila saa mtu aongee mapenzi tu yeye atakuwa anakula wapi??Comment za watu baadhi,,zisikufanye uihukumu JF yote Unique Flower.