makolola JF-Expert Member Joined Sep 15, 2014 Posts 765 Reaction score 290 Jul 11, 2015 #1 Najiuliza roho yake huenda kuhukumiwa na kwenda motoni au mbinguni au huenda kusubiri mpaka kiama ndio hukumu ifanyike?
Najiuliza roho yake huenda kuhukumiwa na kwenda motoni au mbinguni au huenda kusubiri mpaka kiama ndio hukumu ifanyike?
Mashaxizo JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 6,707 Reaction score 3,355 Jul 12, 2015 #2 Mbingu, moto na kiama umedanganywa.
Wonderful JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 7,347 Reaction score 5,998 Jul 12, 2015 #3 Ukawa....
Dj mat JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 747 Reaction score 476 Jul 12, 2015 #4 Hivi roho ipo sehemu gani ya mwili?tuanzie hapo kwanza
aretaskimario JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 527 Reaction score 248 Jul 12, 2015 #5 Kwanza jiulize yeye ni nani na roho ni nini kabla ya kuuliza roho inaenda wapi. Je? Yeye anaenda wapi kama roho yake inaenda mbinguni or jehanam.
Kwanza jiulize yeye ni nani na roho ni nini kabla ya kuuliza roho inaenda wapi. Je? Yeye anaenda wapi kama roho yake inaenda mbinguni or jehanam.
M moondampwani JF-Expert Member Joined Dec 4, 2014 Posts 535 Reaction score 170 Jul 12, 2015 #6 Mkuu nijuwavyo mm ni kuwa roho hurudi kule ilikokuwa kabla hajawekewa binadam
The_Emperor JF-Expert Member Joined Mar 23, 2012 Posts 871 Reaction score 125 Jul 12, 2015 #7 makolola said: Najiuliza roho yake huenda kuhukumiwa na kwenda motoni au mbinguni au huenda kusubiri mpaka kiama ndio hukumu ifanyike? Click to expand... Hakuna anaejua!
makolola said: Najiuliza roho yake huenda kuhukumiwa na kwenda motoni au mbinguni au huenda kusubiri mpaka kiama ndio hukumu ifanyike? Click to expand... Hakuna anaejua!
makolola JF-Expert Member Joined Sep 15, 2014 Posts 765 Reaction score 290 Jul 12, 2015 Thread starter #8 aretaskimario said: Kwanza jiulize yeye ni nani na roho ni nini kabla ya kuuliza roho inaenda wapi. Je? Yeye anaenda wapi kama roho yake inaenda mbinguni or jehanam. Click to expand... mtu akichukuliwa msukule je?
aretaskimario said: Kwanza jiulize yeye ni nani na roho ni nini kabla ya kuuliza roho inaenda wapi. Je? Yeye anaenda wapi kama roho yake inaenda mbinguni or jehanam. Click to expand... mtu akichukuliwa msukule je?
Ben Zen Tarot JF-Expert Member Joined Dec 13, 2014 Posts 4,392 Reaction score 7,863 Jul 12, 2015 #9 moondampwani said: Mkuu nijuwavyo mm ni kuwa roho hurudi kule ilikokuwa kabla hajawekewa binadam Click to expand... Lakini itategemea aliishi vip Kama alikuwa mtu mwema atazaliwa tena kama binadamu lakini kama alikuwa mtenda maovu atazaliwa kama paka, mbwa, panya nk
moondampwani said: Mkuu nijuwavyo mm ni kuwa roho hurudi kule ilikokuwa kabla hajawekewa binadam Click to expand... Lakini itategemea aliishi vip Kama alikuwa mtu mwema atazaliwa tena kama binadamu lakini kama alikuwa mtenda maovu atazaliwa kama paka, mbwa, panya nk
M moondampwani JF-Expert Member Joined Dec 4, 2014 Posts 535 Reaction score 170 Jul 12, 2015 #10 Inaltiora said: Lakini itategemea aliishi vip Kama alikuwa mtu mwema atazaliwa tena kama binadamu lakini kama alikuwa mtenda maovu atazaliwa kama paka, mbwa, panya nk Click to expand... Jambo hili ni kiimani zaidi inategemea imani ya dini ya mtu inasemaje
Inaltiora said: Lakini itategemea aliishi vip Kama alikuwa mtu mwema atazaliwa tena kama binadamu lakini kama alikuwa mtenda maovu atazaliwa kama paka, mbwa, panya nk Click to expand... Jambo hili ni kiimani zaidi inategemea imani ya dini ya mtu inasemaje
aretaskimario JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 527 Reaction score 248 Jul 12, 2015 #11 makolola said: mtu akichukuliwa msukule je? Click to expand... Wanaondoka nae kabisa kinachobaki ni copy
makolola said: mtu akichukuliwa msukule je? Click to expand... Wanaondoka nae kabisa kinachobaki ni copy
Econometrician JF-Expert Member Joined Oct 25, 2013 Posts 17,533 Reaction score 32,757 Jul 12, 2015 #12 Itarudi kule ilipokuwepo kabla ajazaliwa.
yankee Senior Member Joined Mar 5, 2013 Posts 100 Reaction score 82 Jul 12, 2015 #13 Inaltiora said: Lakini itategemea aliishi vip Kama alikuwa mtu mwema atazaliwa tena kama binadamu lakini kama alikuwa mtenda maovu atazaliwa kama paka, mbwa, panya nk Click to expand... mkuu kuna andiko lolote limesema hivo???
Inaltiora said: Lakini itategemea aliishi vip Kama alikuwa mtu mwema atazaliwa tena kama binadamu lakini kama alikuwa mtenda maovu atazaliwa kama paka, mbwa, panya nk Click to expand... mkuu kuna andiko lolote limesema hivo???
K Klauz Member Joined Apr 28, 2015 Posts 21 Reaction score 10 Jul 12, 2015 #14 Inaltiora said: Lakini itategemea aliishi vip Kama alikuwa mtu mwema atazaliwa tena kama binadamu lakini kama alikuwa mtenda maovu atazaliwa kama paka, mbwa, panya nk Click to expand... Mkuu kuzaliwa kama Mbwa, Paka au Panya ni adhabu au? Coz naona kuna mbwa wanaishi maisha mazuri wakiyofautiana na wengine, sasa hawa wanaoishi maisha mazuri wao pia ni adhabu kama walivyo waishio ya shida au vipi
Inaltiora said: Lakini itategemea aliishi vip Kama alikuwa mtu mwema atazaliwa tena kama binadamu lakini kama alikuwa mtenda maovu atazaliwa kama paka, mbwa, panya nk Click to expand... Mkuu kuzaliwa kama Mbwa, Paka au Panya ni adhabu au? Coz naona kuna mbwa wanaishi maisha mazuri wakiyofautiana na wengine, sasa hawa wanaoishi maisha mazuri wao pia ni adhabu kama walivyo waishio ya shida au vipi
J joel peter Member Joined Feb 10, 2014 Posts 22 Reaction score 6 Jul 13, 2015 #15 Inaltiora said: Lakini itategemea aliishi vip Kama alikuwa mtu mwema atazaliwa tena kama binadamu lakini kama alikuwa mtenda maovu atazaliwa kama paka, mbwa, panya nk Click to expand... doooohh!! Bas walokuwemo escrow wote watazaliwa vyura
Inaltiora said: Lakini itategemea aliishi vip Kama alikuwa mtu mwema atazaliwa tena kama binadamu lakini kama alikuwa mtenda maovu atazaliwa kama paka, mbwa, panya nk Click to expand... doooohh!! Bas walokuwemo escrow wote watazaliwa vyura
M MASEBUNA JF-Expert Member Joined Oct 9, 2011 Posts 243 Reaction score 55 Jul 13, 2015 #16 makolola said: Najiuliza roho yake huenda kuhukumiwa na kwenda motoni au mbinguni au huenda kusubiri mpaka kiama ndio hukumu ifanyike? Click to expand... Kwani umeme ukikatika unaenda wapi?
makolola said: Najiuliza roho yake huenda kuhukumiwa na kwenda motoni au mbinguni au huenda kusubiri mpaka kiama ndio hukumu ifanyike? Click to expand... Kwani umeme ukikatika unaenda wapi?
Noah.. Member Joined Mar 21, 2015 Posts 42 Reaction score 20 Jul 13, 2015 #17 Ivi roho ina tofauti gani na Nafsi?+
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,432 Jul 13, 2015 #18 makolola said: Najiuliza roho yake huenda kuhukumiwa na kwenda motoni au mbinguni au huenda kusubiri mpaka kiama ndio hukumu ifanyike? Click to expand... Kwanza fafanua roho ni nini?
makolola said: Najiuliza roho yake huenda kuhukumiwa na kwenda motoni au mbinguni au huenda kusubiri mpaka kiama ndio hukumu ifanyike? Click to expand... Kwanza fafanua roho ni nini?
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,432 Jul 13, 2015 #19 MASEBUNA said: Kwani umeme ukikatika unaenda wapi? Click to expand... inategemea na source. Wa Kidatu unarudi huko huko na kugeuka tena Kuwa maji
MASEBUNA said: Kwani umeme ukikatika unaenda wapi? Click to expand... inategemea na source. Wa Kidatu unarudi huko huko na kugeuka tena Kuwa maji
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,432 Jul 13, 2015 #20 Inaltiora said: Lakini itategemea aliishi vip Kama alikuwa mtu mwema atazaliwa tena kama binadamu lakini kama alikuwa mtenda maovu atazaliwa kama paka, mbwa, panya nk Click to expand... Ni nani anayewageuza Kuwa paka, Mbwa, panya etc
Inaltiora said: Lakini itategemea aliishi vip Kama alikuwa mtu mwema atazaliwa tena kama binadamu lakini kama alikuwa mtenda maovu atazaliwa kama paka, mbwa, panya nk Click to expand... Ni nani anayewageuza Kuwa paka, Mbwa, panya etc