Mtoto wangu wa mwisho sio wa mume wangu. Je, nimwambie ukweli?

Umeongea kitu cha msingi mkuu sio kumfuatilia huyu msomi aliepita form four ila ni aina ya mada anazoziweka natamani kweli kuchangia ila nikiangalia jina na mada nabaki naduwaa ila sio mbaya labdaa anapenda kucopy na kupaste aidha nimtatuzi au mshauri (social worker) wa mambo ya watu.
Nawasilisha
Nadhani hiyo habari kaitoa kwenye Page za Facebook hasa EATV ndiyo huwa wana huu upuuzi.
 
Back
Top Bottom