Mtoto wangu ana tatizo la korodani

Mtoto wangu ana tatizo la korodani

Ntikwite

Member
Joined
May 13, 2017
Posts
94
Reaction score
54
Habari za majukumu wana JF mimi nina mtoto wa kiume mwenye mwaka na miezi minne sasa lakini siku za hivi karibuni nimegundua kuwa katika korodani zake iliyoshuka ni moja yaani namaanisha ukimshika kwenye korodani inaonekana gololi moja tu badala ya mbili nawaombeni msaada wa kimawazo wadau wenzangu.
 
Wahi hospital, ukaonane na daktari.
Hiyo moja itakuwa haikushuka.
 
Cryptorchidism hiyo, mpeleke hospital wamfanyie surgery.
 
hyo ndo umegundua saiv kipind hiki mpaka mtoto kafkisha mwaka mmoja na miez au hlo tatzo limeanza hivi karibun? Inawezekana hali ya hewa mfano barid inaweza pia sababisha hyo ktu kama lkn imeanz hv karibuni.
 
Waone urologists wataishusha fasta kwa surgery wahi mtoto akiwa bado mdogo.
 
Back
Top Bottom