Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

Mwekezaji....

Anawekeza wapi kwa faida ya nani Sijui...., Nachojua majority ya walamba asali wanawekeza kwenye matumbo yao (kwahio hata hapo asingekuwa yeye mweke mtu yoyote bado outcome ingekuwa ileile)

Shida ni hizi nchi zetu kutoendeshwa kama Taasisi bali kama Kibubu cha aliyepo juu; Hata genge la nyanya lina mfumo fulani unaofuatwa
 
Rais Mseven wa Uganda amekutana na ujumbe wa serikali ya Tanzania ambao umeongozwa na mtoto wa wa kiume wa Rais Samia.
Ukiitwa mahakamani unaweza kuthibitisha hiyo kauli???

Unajua ujumbe unaowakilisha serikali itifaki yake na maelezo yake kiitifaki ????

Hizo itifaki umeziona kwenye hiyo twitter ya Museven???

Nakupa kazi, nenda Uganda ukiwa na wafanyakazi wenzako wewe ukiwa kiongozi halafu uone kama Museven hataweza kukupost kama amekutana nani.

Kuna tatizo kubwa la kufikiri,kudadisi na kujielimisha.Hisia,papara na mhemko vinatawala sana. Hizi zilikuwa tabia za kike lakini siku hizi wanaume ndiyo vinara awe msomi na asiwe msomi !!!!!!!!!!!!
 
Kama alikuwa hawezi kuongozi nchi si angesema tu akae pembeni kila kitu kimekuwa hivyo kwa sasa kwa kweli
 
Nchi inaendeshwa kama gari lililokatika senta bolti
Mbona umelisahau lichama lenu linaloongozwa kama saccos au mradi wa mtu binafsi aliyokabidhiwa na mkwe wake? Ndio maana Mbowe alishawafanya kama majinga tu maana anajuwa hajitambui wala kuijielewa ,ndio maana mnaswagwa tu kama ming'ombe mbugani.

Taifa letu lina amani ndio maana linasonga mbele na kupiga hatua za kimaendeleo kwa kishindo
 
Dogo wanapozungumzia masuala ya nishati hususani umeme kutoka Mutukula hadi Mwanza...nini maana yake? Au Mwanza ni mali binafsi?
 
Ondoa blaa balaa zako hapa wewe na chuki zako za kijinga. Hata akifanya Biashara anayo haki hiyo ilimradi havunji sheria, kanuni na katiba ya nchi.
Wewe kila mtu anakuhurumia humu umevuka mipaka ya kujipendekeza sio chawa tena ni mtu unaedhalilisha utu wako.

Unafahamu mtaji wa kuwekeza kwenye solar energy, unaweza kutuambia huo mtaji katoa wapi au bank gani ina finance huo mradi.

Kwa kile kibanda alichokulia ‘Bi Tozo’ Kizimkazi huo utajiri wa familia hawana na wala historia ya biashara hana.

Ni hela za walipa kodi walizochota, mtu yupo serikalini zaidi ya miaka 30 aoni ata wenzake wanavyotumia wafanyabiashara kama bosheni kuwekeza hela wanazoiba yeye anampeleka mtoto wake mbele.
 
Kama alikuwa hawezi kuongozi nchi si angesema tu akae pembeni kila kitu kimekuwa hivyo kwa sasa kwa kweli
Taifa na nchi yetu imechanua kwa maendeleo na kuwa Taifa la mfano barani Afrika kutokana na uchapa kazi na utendaji kazi uliotukuka wa Rais samia,ambapo sasa kila sekta inasonga mbele na kupata maendeleo ya kishindo,. Sasa ni mafanikio katika kila eneo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…