Mtoto wa Mkulima amuumiza Lowassa

Mtoto wa Mkulima amuumiza Lowassa

nuruyamnyonge

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
4,439
Reaction score
2,287
Asalaam aleykum!

Nianze kwa kuwapa hongera wabunge kwa kazi kubwa mlioifanya juu ya wezi wa pesa za umma kwenye account ya Escrow.

Kwa maridhiano yenu leo; mmeliweka Taifa kwenye hadhi yake na watanzania tumewaamini, hasa wabunge wa ukawa na ukawa ccm.

Mzee Pinda sasa Zingatia ushauri wa Mbowe chapa kazi. Tuko pamoja. Poleni sana watuhumiwa wote; karibuni uraiani kuna jembe la mkono njooni tuunge mkono kilimo kwanza, maisha bora kwa kila mtanzania.
 
Hachana na ndoto za renacha hayo mazombwe yana pesa nyingi haya wezi kushika JEMBE la mkono!!!!
 
Ingawa mimi si shabiki wa Lowasa wala Pinda. Sijaona uhusinao wa heading yako na content ya habari yako. Weka nyama zaidi. Pengine ndo sababu ya wachangiaji kuwa wachache kwamba hujaeleweka. Angalia muda uliopost na idadi na muda wa post zinazofuata kabla ya hii.
 
Yawezekana una hoja ya msingi hebu review post yako ili tukuelewe mdau.
 
Ni yaleyale tu... ushabiki maandazi wa siasa

hakuna relatioship yoyote kati ya heading na content ya post yako
 
Ingawa mimi si shabiki wa Lowasa wala Pinda. Sijaona uhusinao wa heading yako na content ya habari yako. Weka nyama zaidi. Pengine ndo sababu ya wachangiaji kuwa wachache kwamba hujaeleweka. Angalia muda uliopost na idadi na muda wa post zinazofuata kabla ya hii.

Naunga observation yako mkono!
 
Ingawa mimi si shabiki wa Lowasa wala Pinda. Sijaona uhusinao wa heading yako na content ya habari yako. Weka nyama zaidi. Pengine ndo sababu ya wachangiaji kuwa wachache kwamba hujaeleweka. Angalia muda uliopost na idadi na muda wa post zinazofuata kabla ya hii.

Ahsante kwa kupitia bandiko langu walau akang'amua mawili matatu, nilikuwa nachokoza mada tu nikitegemea wachambuzi watamwaga nondo zilizoshiba, hata hivyo nilikuwa na uchovu wa Escrow.
 
Ni yaleyale tu... ushabiki maandazi wa siasa

hakuna relatioship yoyote kati ya heading na content ya post yako

Watanzania hatupendi kuumiza vichwa kufikiri. Tunapenda mfikisha ujumbe atafune kila kitu. Umiza akili chukua hatua
 
Back
Top Bottom