Nilikuwa naangalia habari cnn,wamemwonyesha dogo wa miaka 8 kilelen mlima kilimanjaro. Main aim wa to raise fund kwa watu wenye ulemavu.
Source:Isha Sesay CNN
kweli mkuu hyo si kilimanjaro nliyopanda mie 2003, we nlikuwa na 17 lakn hali ilikuwa ngumu, kwanza hata baada ya kufika kilelen sikumbuki kati yetu kama kuna hata mmoja alikuwa anatabasam kwa jinc tulivyokuwa hoi, anyway hongera zake mtoto wa kizungu..................