Mtoto wa Miaka 8 'abaka' Kichanga.

fredito13

JF-Expert Member
Sep 3, 2012
212
250
Wana JF,

Katika maeneo fulani ya jiji la DSM, kuna mtoto wa mwenye nyumba kabaka 'kichanga' cha mpangaji.

Mchana wa leo, mpangaji akiwa na mtoto mdogo mwenye mwaka mmoja, alikiacha kitoto chake nddani kimelala na yeye kwenda dukani/gengeni kufanya manunuzi! Kwakuwa ni nyumba ya kupanga, yenye watu wengi, mama huyo alirudishia mlango na kutoka akikimbia gengeni!

Kwa muda mfupi aliotoka, alipishana na mtoto wa baba mwenye nyumba, mwenye miaka 8 ambaye baada ya kuona mpangaji hayupo, alipita mpaka kichanga kilipolazwa na kukifanyia mchezo mchafu! Mama kichanga anarudi toka gengeni anakuta bwana mdogo 'anahangaika' juu ya kichanga chake. Ikabidi apige yowe kuomba msaada kwa majirani!

Mpaka muda huu, bado haieleweko mtoto wa kiume achukuliwe hatua gani kwani kwa umri wake huwezi kumfungulia kesi! Baba mwenye nyumba anaomba yaishe ilhali haijajulikana 'kichanga' ameathiriwa kwa kiasi gani!

TAHADHARI: kina mama wenye watoto kuweni makini mnapoacha watoto wenu nyumbani! Dunia imechafuka! Mtoto wa miaka 8 amejifunzia wapi mambo kama hayo? Wazazi tuwe makini na watoto wetu!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 

Muangila

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
1,918
2,000
hapo hamna ubakaji mkuu mtoto mchanga habakwi amenajisiwa pia huyo dogo wa kiume hajafikia umri wa kubaka hapo ni kumrudi ili asirudie na wazazi wayamalize
 

Vitaimana

JF-Expert Member
Nov 2, 2013
3,542
2,000
Moyo wangu umeumia sana baada ya kusoma hii habari! Ni dalili za mwisho? Ni malezi mabovu? Ni makundi? Au laana ya ukoo? Kama at 8 kaweza kufanya hivyo who knows what he will do when he is 25! He will be Davel Himself! Parents we should Pray for our Children
 

mwanafyale

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
1,641
1,250
hapo hamna ubakaji mkuu mtoto mchanga habakwi amenajisiwa pia huyo dogo wa kiume hajafikia umri wa kubaka hapo ni kumrudi ili asirudie na wazazi wayamalize
Sio kweli mkuu, vinginevyo kusingekuwa na jela ya watoto watukutu. Huyo mama aende kwenye vyombo vya sheria na asisikilize bush lawyers
 

Chemiker

JF-Expert Member
Jun 19, 2013
508
195
fredito13 Haya ndiyo madhara ya baba kufanya mapenzi na mama wakati anaona mimba yake kubwa kabisa!! Hii inamuathiri mtoto kisaikolojia tumboni kwani ile mitetemo ya lile bomba la baba husababisha madhara kwa mtoto kwani kichwa cha mtoto hugeukia chini kikiface njia ya kutokea!! Wakina baba tujitahidi kuvumilia ili tutengeneze watoto walio na akili njema na ambao kisaikolojia wapo fit!!
 

Songoro

JF-Expert Member
May 27, 2009
4,125
0
Jino kwa Jino. uyo dogo wa miaka 8 angetaftiwa dogo mwenzie aliemzidi miaka 8 ili nae ahisi uchungu huo, hatorudia tena. tena apigwe mzigo wa kulumagia ( asilinishwe) ili ahisi maumivu nae atakoma hatorudia tena!
 

1000 digits

JF-Expert Member
Oct 16, 2012
4,996
2,000
Apelekwe jela ya watoto hiyo ni mbegu chafu kwny jamii iliyostaarabika .hamna namna nyingine afungwe tu,
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom