Da Womanizer
JF-Expert Member
- May 24, 2010
- 1,577
- 151
jamani kwa kweli nimeboreka na inanitisha kwamba katika kizazi hiki bado kuna watu wa mawazo haya. yani kweli hao watoto wa kike hawana haki ya kurithi hizo mali hadi wawe wa kiume? naomba niwe tofauti this is unfair and an insult, kwa mkewe, kwa hao watoto wake wa kike na hata kwa Mungu wake. Mungu ndo muamuzi mtu azae mtoto gani. Kama haridhiki kiasi hicho aadopt mtoto wa kiume lakini mkewe anaweza kummistreat huyo mtoto akijua anakuja kurithi mali za wanae. da hii imeniumiza personally aisee.
Anayemjua Mungu hawezi kuhandika namna hii, kama hujaelewa thread unaweza kusoma upya, hapa kinachotakiwa ni msaada wa aina yoyote, mfano, unaweza ukawa na yatima, au mtoto aliyeokotwa jalalani wazazi wake hawajulikani, mkaenda kwenye vyombo vinavyohusika, akakabidhiwa au vyovyote vile, sio lazima njia moja wewe uliyoiona, tujaribu kujibu hread za wenzetu kwa nidhamu sio kama huyu jamaa,
Nami kwa jina Mungu wangu aliye hai namuombea mema ajifunze jinsi ya kuchangia mada sio kukurupika.
Rafiki yangu wa karibu amenijia na shida yake, imenishinda nimeona niilete kwenu, nayo ni;
Amebahatika kupata mali za kutosha, lakini bahati mbaya ana watoto wa kike tu, na mkewe amefungwa kizazi kutokana na kufanyiwa upasuaji wakati wa kujifungua mala 3,
Anataka apate watoto wa kiume japo wawili kwa njia yoyote ile, iwe ya kuokota mtoto wa kiume, kuzaa na mtu yeyote mradi mtoto akizaliwa awe wa kiume au vyovyote vile.
Tunamsaidiaje?
Yaani uko so insecure na suala la wewe kuwa mwanamke kiasi kwamba mumeo akisema anatamani kuwa na mtoto wa kiume we akili yako itasikia kwamba anadharau wanawake. Kuna watu pia huwa wanatamani kupata mtoto wa kike. Jaribu kufungua hiyo minyororo ya kifikra uliyojifunga mama
Kama anataka kwa njia yeyote ile basi hata ya ku adopt ni better, maana huyo mama hataiwezekana tena na kwenda kuzaa nje ya ndoa haitakuwa vema, while makubaliano ya kufunga kizazi wote waliafiki. After all mtoto ni mtoto haijalishi kike au kiume.
Kuadopt, unafanyaje?
Binafsi naamini watoto wa kike wanaweza tena sana lakini wanaweza tu kubeba majukumu yao kama ambavyo wanaume wanaweza kubeba majukumu yao na si zaidi ya hapoSijaelewa, or, may be am missing something! Zimetajwa mali hapa, does it mean malengo ni kumtafuta wa kiume ili awe mrithi? Yale yale! Au angependa kuona mtoto wa kiume anazunguka zunguka ndani ya nyumba ili roho yake itulie? Comeon, rafiki, mbona mnataka kuturudisha tulikotoka? Kwa nini usiwape uezo hao watoto wa kike waje kuwa kama kile unachotaka wewe, in terms of capability? Don't tell me kuwa you guys still don't believe in watoto wa kike? Don't you believe kuwa wakipewa uezo /nafasi wanaweza?
Ok, well, labda sikuelewa mada, au ni kuwa huyo rafikio mali zimekuwa nyingi sana kwa hiyo anaona zitawaelemea hao watoto wake watatu, kwa hiyo anawaongezea msaada?
Unless, kama rafiki yako ameongezewa roho ya imani, kutoa msaada kwa watoto wasio na uezo, nitamsupport, otherwise...mmh..napata taabu kuinunua idea...
Ndio maana hakuropoka kwa wanawe mkuu. Mi sidhani kama ni kosa kutamani mtoto wa kiume. Msimuhukumu huyu bwana bure sijaona mahali popote akisema kuwa hawapendi watoto wake wa kike after all ukiwa na nyumba moja ukatamani kuwa na nyingine sio kosa japokuwa kuna watu wengi tu hawana hata sehemu ya kulala.Dina huyu Kaitaba na Rafikiye wana mawazo mgando!
hata sijui kwa nini Mungu alimpa hao mabinti wazuri ; mtu kama huyu ilimfaa asipewe uzazi kabisa; haelewi nini maana yake; hebu siku mmoja aropoke kwa wanawe haya maneno watayachukuliaje?
3.anaweza kuweka masharti kuwa hizi mali ni zenu peke yenu siyo na waume zenu...kuna tatizo hapo?
Hiyo ni kwa sababu wewe ni tall na yeye ni yeye mkuu....usisahau kila mtu na mapenzi yake1.rafiki yako nakushauri asitafute mtoto wa hiari(adapt).........ni hatari
2.asihangaike,haohao aliompa mungu wanatosha.awarithishe kila kitu hao.
3.anaweza kuweka masharti kuwa hizi mali ni zenu peke yenu siyo na waume zenu...kuna tatizo hapo?
4.ila kama anataka watoto wake waje wauwawe na huyo mtoto mgeni ili awanyan'ganye mali i'ts ok,aendelee.kusaka
5.wote wa kike au kiume wana uzito unaolingana,tena ingekuwa mimi ningechekelea kupata wakike zaidi.
Aliyekwambia hajasweat nani????? We unayajua yote yanayopita katika akili ya Obama??? After all ni nani aliyekwambia ni lazima upende kuwa kama alivyo Obama, Bush au Clinton. Kwa hapa mkuu sijaona hoja kabisa...Ashukuru ana hata hao watoto wa kike, angeweza kukosa kabisa.
Akienda nje na kupata watoto wa kike atafanyaje? Hivi kuwa na mtoto wa kiume ni lazima? Mbona the most powerful man by some account, Obama, hana mtoto wa kiume na wala hajasweat?
Now that I think of it, George W. Bush naye hakuwa na mtoto wa kiume, Bill Clinton hakuwa na mtoto wa kiume.
Huu mfumodume noma kweli.
Mimi ningependa kujua kwanini anataka mtoto wa kiume na asiridhike na hao watoto wa kike aliojaliwa na Mungu. Kama anatafuta mrithi kutokana na hizo mali zake basi amuombe Mungu amsamehe maana hajui alitendalo na wala asithubutu kumtafuta mtoto wa kiume kwasababu hiyo ya mrithi. Nina mifano mingi sana ya kumpa kwa wanaume waliojaribu kufanya jambo kama hilo walijuta na wanaendelea kujuta.Anataka apate watoto wa kiume japo wawili kwa njia yoyote ile, iwe ya kuokota mtoto wa kiume, kuzaa na mtu yeyote mradi mtoto akizaliwa awe wa kiume au vyovyote vile.