Mtoto wa kiume kutoa vitu vyeupe kama usaha

bushland

JF-Expert Member
Mar 6, 2015
7,015
4,982
Naombeni ushauri jaman, mwanangu WA kiume WA miaka miwili na nusu akishakojoa anatoa maji maji meupe mwishoni, hiyo Ni kitu gani, Jana ndo nimeona hivo,
bado hajatahiriwa
 
Mpeleke hospital ya wilaya,akafanyiwe vipimo sasa.Nina hakika mda mfupi atapona tatizo lake.
 
Asante ntampeleka kesho
Niliwahi kusikia au kusoma mahali,watoto ambao hawajatahiriwa,wanaposafishwa au kutumia vyoo visivyo na kiwango,kupata maradhi ya kuambikiza kiurahisi.Kwa maana bakteria wanabaki katika ngozi inayoning'inia.Wanaweza pata hata UTI kutojana na kutotahiriwa.Mimi sio mtaalamu wa masuala afya,huwenda ikawa sawa katika kumbukumbu zangu au toafauti na hivyo.Lakini muhimu mpeleke hospital.
 
Unapomuogesha inabidi ile nyama uivute umsafishe vzuri. .
 
Back
Top Bottom