Baba iko peleka wewe akhera kabla muda jafika...kuna wahindi aina mbili, angalia..kama dingi anakuja kila jioni kumpick, haonekani kama outgoing na nini,,,chunga sana watakata hiyo mambo yako
Baba iko peleka wewe akhera kabla muda jafika...kuna wahindi aina mbili, angalia..kama dingi anakuja kila jioni kumpick, haonekani kama outgoing na nini,,,chunga sana watakata hiyo mambo yako
Dah hebu ni Pm nikupe mautundu ya hawa viumbe mimi nimekuwa na zali nao sana'yaani hesabu inanipa kama 7 hivi nimepata kuwa na uhusiano nao,huwezi kuamini mpaka mke wangu nataraji kuowa ni mdosi pia,na niliechana nae kabla ya my future wife nae mdosi hawa viumbe bwana wanaraha na karaha yao pia,
Hiyo situation ipo bongo? .... kama ni hivyo, kazi unayo labda akutokee mwenyewe. Huku ughaibuni wapo easy huwa hata hatuna haja nao.
Kuwapata kirahisi just have a huge sense of humor, make her laugh a lot ..... it works!